Hakika ng'ombe wa maskin hazai

ndugu papizo, alotoa mada ni MAMKEY mimi ni KILAHUNJA na nimejibu swali alouliza SENETOR cz ana tabia za mizaha ktk maswala ya KAZI, so ts nt a real thing, be disturbed by it no more.

kati ya mim na wewe nan kaonyesha mzaha hapo?
 
pole mwaya! Mungu atatusaidia! dah me mwenyewe mpaka nachoka sasa! hata kwenye interview siitwi wallah da! ni mwaka sasa nimeshapoteza pesa kibao kuprint na macopy! yaani sometimes nachokaaa....!!! sometimes napata nguvu tena ya kuomba! ndo hivyo! yaani sion hata dalili ndugu yangu! usijali tupo wengi na tumuombe Mungu tutapata! pole lakn
 
ndugu papizo, alotoa mada ni MAMKEY mimi ni KILAHUNJA na nimejibu swali alouliza SENETOR cz ana tabia za mizaha ktk maswala ya KAZI, so ts nt a real thing, be disturbed by it no more.

Ohhh hapo sasa nimeshakuelewa maana nilikuwa bado sijaelewa, kumbe ndio tabia ya jamaa na naona ameshakula ban tayari, haya mama hamna tatizo
 
We kihaluja kwani mwenye thread kakuomba umsaidie kumjibia maswali??yy yuko seriaz na situation alonayo afu we unaleta mzaha kama unataka mzaha na senetor si uanzishe thread yako???
 
Mtamfanya mwenye frustration zake acheke ajisahau Ana shida.
Ndugu,ukiitwa kwa usaili kwa SMS ama kupewa majibu ya kazi kwa SMS ujue unatapeliwa. Wanakungojea uwe desperate Hao ili siku wakikuambia toe hela usifikirie Mara mbili. Be positive, mungu yupo
 
nimefanya interview nyingi nyingine nimefanikia kabisa na kutumiwa mpaka sms za congratulations na kuwa wataniita after same days sasa miez cta cjaitwa jamani nifanyeje? No capital,?? No income,??? Ntafantaje mim wakati cna hata wa kumtegemea jamani nisaidieni pliz.

Nakushauri uenda katika maombezi uone jinsi muujiza wa mungu unavyoweza kufungua njia zako
 
We kihaluja kwani mwenye thread kakuomba umsaidie kumjibia maswali??yy yuko seriaz na situation alonayo afu we unaleta mzaha kama unataka mzaha na senetor si uanzishe thread yako???

kumjibia maswali? Au kujibu swali? Pili naitwa kilahunja na si kilahuja, then Kama nimekukera basi na wewe anzisha thread yako ya kunikosoa uone kama italeta mantiki, si kila k2 cha kuanzishia majadala..mwisho nisamehe sana kwa kukuuzi sitarudia tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom