Siku Vijana Watakapowageuka CHADEMA.

Siku Vijana Watakapowageuka CHADEMA.

Sio shabiki wa siasa ila inasikitisha sana kuona watu wengi wanachangia kwa ushabiki tu.inadhihirisha kwamba hawafikirii siasa ni mchezo mchafu siamini kama cdm italeta mabadiliko ambayo yatashangaza wengi itakua the same story.Naunga hoja 100% kuwa ipo siku vijana wataigeuka CHADEMA kama wasipojipanga kuwa na sera zisizoelweka!!!!!:der::der::der::der:
 
Hapo kwenye nyekundu WENGI NI WAFUATA MKUMBO, wakighafilika kutokana na madhila yaliyoletwa na ccm pasi kujua hata mwelekeo na katba ya chadema

Hivi nini maana ya KUGHAFILIKA?
 
Nilishasema,CCM wakitaka huo umati unaoifuata CDM wafanye kitu kidogo na ambacho naamini ni rahisi kwao lakin sielewi kwa nini wanashindwa na kukipa chati cha cha CHADEMA.
1.Viongozi wafanye wawezavyo bei za vyakula ishuke kwa kasi chini mfano mchele kutoka 2,500/-hadi 1,500,suakri 2,000 hadi 1,000/-kibiriti kutoka sh 100 hadi 25,mafuta ya taa yawe rahisi kama mwanzo,umeme nao ushuke bei na uwe rahisi pai wanafunzi wote vyuoni wapewe mikopo bila kubagua.

Halafu kuwe na mkutano wa chadema uone kama chama hicho kitapata watu.
 
Leroy na Kimbunga

siku za karibuni mbunge msigwa wa chadema alikuwa akitoa hotuba huko kwao, alizungumza sana umuhimu wa watu kufanya kazi na akawapa mbinu mbalimbali za wao kujikomboa

That was perfect example of a leader na sio kutoa matumaini kana kwamba chadema ikishika nchi, mabomba yatoa maziwa na that is a bomb!

Mkuu Waberoya ni viongozi wangapi wa CDM wamewaambia hivyo vijana?

Mimi binafsi sijasikia sera za CDM kuhusu vijana na hasa kuhusu suala la ukosefu wa ajira nchini. Jana tu nimesikia taarifa ya AfDB ikisema bara la Afrika ndilo linaongoza kwa kuwa na vijana wengi. Hvyo vijana ndio siasa na siasa ni vijana. Vijana hawaishangilii CDM kwa kuwa ni CDM bali wanawekeza huko wakitegemea ajira mara tu baada ya CDM kuapishwa kukamata dola. CDM wamejipangaje kwa hilo? Wana makakati gani juu ya hilo?

Je CDM wana mpango gani na wamachinga hawa ambao tunaona wanauza panga moja kutwa nzima pale Ubungo?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu leroy kuna hoja ya msingi hapa.

Vijana huwa wana mategemeo makubwa. Kumbukumbu zinaonyesha kwamba vijana walikuwa wakishangilia sana wakati Rais JK anaingia madarakani. Walimpigia kura wakidhani sasa ni wakati wa vijana kutesa, waliona vijiwe sasa kwaheri wanaenda kupata wote kazi njema zinazolipa huko maofisini.

JK alianza kwa kutembelea wizara na kuna muda alikuwa anatembea toka wizara moja kwenda nyingine akiwa analakiwa kwa nderemo na vifijo vya vijana waliokuwa wakijipanga kumuona mkombozi wao. Baada ya kuona matokeo si sawa na matarajio yao basi wamejikita CDM wakitegemea hali bora toka huko.

Hakika CDM ina vijana kila kona na wote wanaitimbulia macho CDM iingie ikulu iwaokoe na hali duni. Hivyo CDM kama hawatafikia matarajio ya vijana basi vijana hao hao ndio watawageuka tena na kutafuta mbadala. CDM inabidi ijipange kutekeleza matarajio ya vijana
Wakati huo watakuwa wameshazeeka na sio vijana tena, badala yake kizazi kingine na matatizo mengine
 
1. Ulitaka niongelee yapi? Au unanifundisha cha kuongea?
2. Inasikitisha au inahamasisha jitihada zaidi?
3. Hayafai kwa nini?
4. Define why this you think (may be b'se of your dwarf mind) is a bogus news.

Naomba uniruhusu niitumie hii kama signature yangu:

4. Define why this you think (may be b'se of your dwarf mind) is a bogus news.
 
Nimekuwa mtu ninayepinga ukuaji wa umaarufu na kukubalka kwa chadema kutokana na udhaifu wa chama tawala.

Nimekuwa nikijaribu kuishawishi chadema kuwashawishi vijana hata kama chama tawala kitatekeleza matakwa na matarajio ya watanzania kupitia uenezi wa sera na mwelekeo.

Ninawaza siku Vijana wa kitanzania watakapowageuka chadema na viongozi wake.
Si mpaka waingie madarakani na kushindwa kutimiza matarajio yao? Kwa hiyo siku hiyo haiko karibu iko mbali na vijana hawawezi kugeuka na kuiamini CCM tena kabla ya CDM kuingia madarakani maana imekuwa na zaidi ya miaka 50
 
....
Ninawaza siku Vijana wa kitanzania watakapowageuka chadema na viongozi wake.

Hiyo ndiyo maana na lengo kuu la siasa. wala usihofu, ni kawaida. Kugeukwa lazima itafika wakati watageukwa, hasa watakapozembea.....na kuzembea ni lazima kutokee, kama si sasa ni baada ya miaka mingi.
 
Nilishasema,CCM wakitaka huo umati unaoifuata CDM wafanye kitu kidogo na ambacho naamini ni rahisi kwao lakin sielewi kwa nini wanashindwa na kukipa chati cha cha CHADEMA.
1.Viongozi wafanye wawezavyo bei za vyakula ishuke kwa kasi chini mfano mchele kutoka 2,500/-hadi 1,500,suakri 2,000 hadi 1,000/-kibiriti kutoka sh 100 hadi 25,mafuta ya taa yawe rahisi kama mwanzo,umeme nao ushuke bei na uwe rahisi pai wanafunzi wote vyuoni wapewe mikopo bila kubagua.

Halafu kuwe na mkutano wa chadema uone kama chama hicho kitapata watu.
Hapo kwenye red wapo kwenye kilele (peak) cha uwezo wao wa kufikiri
 
Kila jambo na wakati wake.....kwa sasa ni wakati wa vijana kuiunga mkono CHADEMA kwa nguvu zote.
Usiwe unaweka hofu kwa kitu ambacho hakipo....ukiwa pessimistic hutajenga nyumba na wala huta plan future ya watoto wako!
 
1. Ulitaka niongelee yapi? Au unanifundisha cha kuongea?
2. Inasikitisha au inahamasisha jitihada zaidi?
3. Hayafai kwa nini?
4. Define why this you think (may be b'se of your dwarf mind) is a bogus news.

ndugu samahani umetumwa na nani kwafaida ya nani? jua humu jamvini wote ni wanja na wengi tunaelimu zetu zakututosha tu. tunauwezo wa kufanya uchambuzi yakinifu juu ya siasa na and the future of our beloved country Tz.
Tunajua ccm imechoka tena sana inatakiwa kukaa pembeni.
Take home message: usifikiri tunao i support CDM pamoja na M4C nivijana jekeyao, lahasha hata wazazi wa hao vijana na watoto wa hao vijana wapo pamoja na M4C.
 
Mkuu Waberoya ni viongozi wangapi wa CDM wamewaambia hivyo vijana?

Mimi binafsi sijasikia sera za CDM kuhusu vijana na hasa kuhusu suala la ukosefu wa ajira nchini. Jana tu nimesikia taarifa ya AfDB ikisema bara la Afrika ndilo linaongoza kwa kuwa na vijana wengi. Hvyo vijana ndio siasa na siasa ni vijana. Vijana hawaishangilii CDM kwa kuwa ni CDM bali wanawekeza huko wakitegemea ajira mara tu baada ya CDM kuapishwa kukamata dola. CDM wamejipangaje kwa hilo? Wana makakati gani juu ya hilo?

Je CDM wana mpango gani na wamachinga hawa ambao tunaona wanauza panga moja kutwa nzima pale Ubungo?

ni msigwa tu pengine!!

ulichosema ni kweli, ukisema humu kuwa chadema tuonyesheni proposal yenu how will you execute this job ni matusi na kejeli!!

kazi kweli kweli
 
Hapo kwenye nyekundu WENGI NI WAFUATA MKUMBO, wakighafilika kutokana na madhila yaliyoletwa na ccm pasi kujua hata mwelekeo na katba ya chadema

Ufalme unaonguka siku zote ukiulizwa why unapoteza umaarufu majibu yake yanachangia kuongezeka speed ya kuanguka na si kusimama. Maneno yanayoonyesha kukata taamaa kwa CCM ni pamoja na "vijana wanafuata mkumbo". Haya ni maudhi makubwa kwa vijana ambao wame mirror future wanayoitaka na hawaioni CCM ni hivyo wameamua kufanya maamuzi. Huu siyo bendera fuata upepo na si nguvu ya soda!!!!!!!!!
 
ndugu samahani umetumwa na nani kwafaida ya nani? jua humu jamvini wote ni wanja na wengi tunaelimu zetu zakututosha tu. tunauwezo wa kufanya uchambuzi yakinifu juu ya siasa na and the future of our beloved country Tz.
Tunajua ccm imechoka tena sana inatakiwa kukaa pembeni.
Take home message: usifikiri tunao i support CDM pamoja na M4C nivijana jekeyao, lahasha hata wazazi wa hao vijana na watoto wa hao vijana wapo pamoja na M4C.

Mkuu GIB mbona ulichokiandika hapa hakiendani na hayo maandishi mekundu?
 
Nimekuwa mtu ninayepinga ukuaji wa umaarufu na kukubalka kwa chadema kutokana na udhaifu wa chama tawala.

Nimekuwa nikijaribu kuishawishi chadema kuwashawishi vijana hata kama chama tawala kitatekeleza matakwa na matarajio ya watanzania kupitia uenezi wa sera na mwelekeo.

Ninawaza siku Vijana wa kitanzania watakapowageuka chadema na viongozi wake.

Hizi ni hadithi za fisi, anayevizia kwa nyuma akidhani mkono wa binadamu iko siku utaanguka ili apate chakula. Nadhani ndugu yangu huifahamu siasa. Kazi ya chama cha upinzani ni kuwaeleza wananchi mapungufu ya chama tawala na kuomba ridhaa kwa hao wananchi ili wapewe dola uyasahihisha kwa manufaa ya taifa. Kama CCM ingekuwa inatimiza wajibu wake na kuondoa adha na maisha magumu kwa wananchi wake, na kuweka mazingira mazuri ya kuongeza ajira kwa vijana, na hali ya uchumi ikaboreka, ni nani angejisumbua na mikutanao ya wapinzani? Kama utatokea muujiza (jambo nisiloliona likitokea karibuni) kwa CCM kubadilika na uchumi kukua na ajira kupatikana na rasilimali za nchi hii kuwafaidia wananchi, amini kuwa mikutano ya wapinzani itapoteza mvuto.

Lakini kwa sasa tuache tu na M4C yetu ili ziingie fikra mpya katika utawala wa nchi yetu.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Back
Top Bottom