Recent content by luswaguty

  1. luswaguty

    Simulizi ( safari ya kijiji)

    SAFARI YA KIJIJINI SEHEMU YA PILI.... Mtunzi:Issa M.M .....niliweka rasket yangu vema mgogoni nikawa tayari sasa kusubiri gari na kila mmoja alikua yupo tayar kupambana na mwenzake ili apate kuwahi kuingia ndani ya gari......Mh gari kabla ya kutia nanga watu waliikimbilia na mimi nikiwa mmoja...
  2. luswaguty

    Simulizi ( safari ya kijiji)

    SIMULIZI Mtunzi:Issa,M.M Jina la simulizi:SAFARI YA KIJIJIN ......Ilikua ni saa 12:30 za asubuhi wakat nimejilaza kitandani Mguu mmoja nimeubwaga kule na mwengine kule utazani nimekufa maji nilijigeuza huku na kule ghafla nilijishika mkono wa kushoto nikagundua kua jana nilipolala nilisahau...
  3. luswaguty

    Ushauri kwa Serikali kuhusu elimu

    Serikali ikiamuaainawezekanaà.........
  4. luswaguty

    Utafiti: Kuzama chumvini kuna faida kubwa sana kiafya

    Hizi ni tafiti za kibiashara zaidi ili wavutie watu wengi kufanya hivi vitendo vionekane ni sahihi katika jamii na kuzidi kutengeneza zile video zao za xxx
  5. luswaguty

    Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Usimlaumu yeye ni mwanamke na anajielewa sana ila fikilieni nje ya box kwann ameweka maisha yake katika mitandao? Hilo ni swali gumu sana jibu analo mwenyewe.... Jambo lingine kumbuka yeye n kioo cha jamii anafuatiliwa na wanawake wengi sana hapa tz hivyo kwa ww mwanaume na isitoshe unaweza...
  6. luswaguty

    Daladala za Temeke asilimia kubwa (90%) ni Nissan Civilian. Je ni kwa nini?

    Kwa hiyo ww unatumia apple sio watanzania bwana ndio maana tukaambiwa na trump nyie ni kama mashimo ya choo badala uwaze ufanye nn ufanikiwe zaidi hapo ulipo uende hatua unayotaka unawaza magar harafu unaniaminisha wanaume wa dar hovyo sana nilikuwa natetea lakini mmezidi maana sio kwa kuwaza huko
  7. luswaguty

    Natafuta kazi nina degree ya ualimu

    Tuwasiliane namba 0682671952 nina mipango ya biashara na kuna biashara yangu nadhan tutasaidiana ila usihitaji faida mapema unatakiwa kuwa na subira
  8. luswaguty

    Daladala za Temeke asilimia kubwa (90%) ni Nissan Civilian. Je ni kwa nini?

    Huu uzi unanifanya nawaza kwann uandike hivi au kuwaza hivi au ww ni konda na kama sio basi nahisi ulikuwa kwenye folen na mwisho uikuwa huna cha kufanya ukaamua kuwaza hiv.....sasa ww itakusaidia nn unataka ziwe toyota au
  9. luswaguty

    Wapendwa wanawake, muwe makini sana na madaktari wa magonjwa ya wanawake

    Hakikisha unakuwa na daktar wa kike kwa mwanamke wako ana wa kiume kwa wa ww mwenyewe.....na kama hiyo huwez kama unampeleka hospitali mke wako bas tafuta daktar wa kike au hata nurse, kwa kufanya hivyo heshima ya mwanamke au mke wako itakuwepo
  10. luswaguty

    Diamond afungiwe au afukuzwe nchi

    Hahahahhahahahaahha safi sana
  11. luswaguty

    Trump apingwa dhidi ya ubaguzi

    Kwan mnafata nn huko ?
  12. luswaguty

    Asante Makonda, siku hizi hata uswahilini kuna magari ya doria

    Hahahahahahah jamaaa kapaniki au ndio kama sie tunalala kwenye nyummba zisieleweka
Back
Top Bottom