Kwanini baadhi ya watu huchelewa kuoa?

Kwanini baadhi ya watu huchelewa kuoa?

prenge

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2015
Posts
219
Reaction score
283
Huwa najiuliza peke yangu sipati majibu...???????????

Kwanini wenzetu wa imani ile........ wanachelewa sana kuoa?

Unakuta wachumba wanakaa nyumba1..wanazaa hadi watoto by 35+ ndio ndoa hufuata ni kwanini?
 
Uwa najiuliza peke yangu sipati majibu...???????????
Kwann wenzetu wa imani ile........ wanachelewa sana kuoa...unakuta wachumba wanakaa nyumba1..wanazaa hadi watoto by 35+ ndio ndoa ufuata ni kwann?
Kwani umewekwa ndani kwa muda gani hadi hivi sasa?
 
Wanakaziwa vyuma.sana kuanzia kwenye familia anakotaka kuoa hadi kwenye nyumba za ibada wanazokusanyikia.

Kwa.kifupi, ni majanga. Mleta Uzi (prenge ) we acha kabisa
 
Wanakaziwa vyuma.sana kuanzia kwenye familia anakotaka kuoa hadi kwenye nyumba za ibada wanazokusanyikia.

Kwa.kifupi, ni majanga. Mleta Uzi (prenge ) we acha kabisa
Aaaah aaaah
 
Back
Top Bottom