Diamond afungiwe au afukuzwe nchi

Diamond afungiwe au afukuzwe nchi

Jamaa na Bashite nidamdam. sasa atafukuzwa vipi.
Angekua ni mtu wa upinzani ingewezekana
 
Acha kufananisha uchi za kizungu na za kibongo wewe! Za kikwetu zinawepagawawisha bw! Ukiona Mara moja tu picha haifutiki wiki nzima kwenye glasi ya maji, darini hata ukifumba macho IPO tu. Wakatazwe tu!!!
ila tako ni tako tu na uchi utabaki kuwa uchi tu kwan black wangapi ambao siyo wabongo wanaocheza hizo video na episode kibao.! kukataza wala kuruhusu haziwezi kusaidia maadili yetu kutoshuka. usipoangalia kwenye video utakutana nao mtaan hao wadada na mavazi yao ya uchi.. ni bora kufanya tu mambo yako na kuwaacha wao wafanye yao

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Zari na mobeto wanakukera kuliwa na huyu jamaaa nn????asa mawivu ya nn jmn???
 
Mtafutie urai nje ya nchi tutakusaidia kumripoti uhamiaji wamdepot huko
 
Hello floks.naandika Uzi huu nikiwa na hasira sana juu ya kuporomoka kwa maadili hapa Tz.wasanii kama diamond,alikiba,wenye mambo ya kihuni huni kama wema sepetu,gigy,na mavideo vixing wengine ni lazima wachukuliwe hatua kali kama hizo.Tulitegemea wasanii wakubwa waweze kutusaidia kushape nchi lakini utakuta wao ndo wakwanza kuharibu maadili ya kitanzania.
Diamond kufanya collabo na watu wa marekani kusikyfanye ukengeuke,mnakaa uchi kwenye video zenu,mnadhalilisha wanawake .utakuta mwanamke yuko uchi wa mnyama na matako bandia!!why ,for what??.mdogo angu mond you have to change otherwise you will be in trouble.

Mimi ningependekeza hatua zifuatazo zichukuliwe

1) Waitwe wote waonywe na wasaini kiapo cha kutokurudia huu ujinga na udhalimu wa maadili.

2)Wafutiwe leseni zao za biashara kabisa, bora wakalime

3) Akaunti zao za instagram,facebook,twiter nk ZIFUTWE PERMANENTLY.

4)WAFUKUZWE NCHI ILI WAKAFANYE UHUNI WAO HUKO WAENDAKO.
Hama nchi kaishi Saudi Arabia huko manake hao wanalipa kodi kupitia kazi iyo.
-Unataka wrote wawe mapadre au makatekista ka ww.?
 
Itakuwa una kiherehere mpaka kazini duuu watu Wa hivi wanaboaga mbaya halafu wanakujaga kufanya mambo ya ajaaabu kabisa aibu...mimba za ghafula,kufumaniwa nk....afukuzwe ameua mtu? Umemuona yy tu? Kila kitu chibu chibu yy pekee ndie anafanya music? Ungegeneralize ....hlf acha wivu kijinga..
 
Hello floks.naandika Uzi huu nikiwa na hasira sana juu ya kuporomoka kwa maadili hapa Tz.wasanii kama diamond,alikiba,wenye mambo ya kihuni huni kama wema sepetu,gigy,na mavideo vixing wengine ni lazima wachukuliwe hatua kali kama hizo.Tulitegemea wasanii wakubwa waweze kutusaidia kushape nchi lakini utakuta wao ndo wakwanza kuharibu maadili ya kitanzania.
Diamond kufanya collabo na watu wa marekani kusikyfanye ukengeuke,mnakaa uchi kwenye video zenu,mnadhalilisha wanawake .utakuta mwanamke yuko uchi wa mnyama na matako bandia!!why ,for what??.mdogo angu mond you have to change otherwise you will be in trouble.

Mimi ningependekeza hatua zifuatazo zichukuliwe

1) Waitwe wote waonywe na wasaini kiapo cha kutokurudia huu ujinga na udhalimu wa maadili.

2)Wafutiwe leseni zao za biashara kabisa, bora wakalime

3) Akaunti zao za instagram,facebook,twiter nk ZIFUTWE PERMANENTLY.

4)WAFUKUZWE NCHI ILI WAKAFANYE UHUNI WAO HUKO WAENDAKO.
Ivi ni Helo Folks ,au floks
 
Mm siyo mpnz wa Bongo flovour,lakn Mkuu umezingua sana...,tupo kwenye karne ya 21 where competition and profit maximization are the songs of the day na hzo kazi wanazozifanya zikwenda kupambanishwa na kazi za wasanii wengine kutoka mataifa mengine (na ukumbuke hyo ni biashara na watu wamewekeza fedha nyingi sana) so,wakivaa magunia kama unavyotaka ww hawawezi kuingia kwenye ushindani hata kidogo
Pia,hao unaowaona wamevaa hivyo...hizo ndyo ajira zao,yaani ni kama ww unavyookota makopo na kuyauza na wao ndvyo ilivyo!
 
Hii nchi ya matamko naona mleta Uzi kataoa tamko wamekuskia
 
Sasa matako yao bandia wewe yanakuhusu nini? For his career mwacheni tu. Kama mnaona wivu na wewe karekodi ya kwako
Hii unaikumbuka maana kule ulikuwa unawaaukitikia hapa unasemaje jitafakari
 
Back
Top Bottom