Recent content by LUSANGA

  1. L

    Nimempa mimba house girl hataki kuitoa wala kuondoka hataki

    Kapime kwanza kaka kipindi hiki sio chakua kibolo dinda
  2. L

    Kutokana na Maelezo ya Lissu, Zitto Zuberi Kabwe Ameishavuliwa Rasmi Uanachama CHADEMA!

    Mie nlikua nawapenda sana chadema ila kwa hili la Zitto kwakweli siwaungi mkono huyu kijana wanamuonea tu ,na kwa stail wanayotumia tumewastukia kwakweli 2015 watakua na wakt mgumu sanaa Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  3. L

    Afande sele (chadema) kupambana na aziz abood (ccm) ubunge 2015 moro mjini

    Hii nchi jaman imeshakua ya wavuta bangi,ila chadema ndo kichaka cha wahuni sugu,lema ni mwizi wa magari leo mbunge so sion ajabu kumsikia mvuta bangi afande sele akisimamishwa kwan mwnyekit mchezesha disco,katibu mzinzi! Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  4. L

    Kigwangalla apinga Spika kuleta madaktari wa India Apollo, apingwa na wenzake!

    Jamani hivi kweli tunaipeleka wapi hii nchi yetu?nadhani kuna viongozi hawana uchungu kabisa na rasilimali za nchi hii,kiufupi hakuna haja ya kuleta wataalam Madaktar from India kwani hapa Tanzania hayo yanawezekana.Lusinde ana kichaaa nadhani yeye na bi Kiroboto.Tuipende nchi yetu na tujiepushe...
  5. L

    Toothless TAKUKURU: Uchaguzi UVCCM watawaliwa na rushwa na vurugu

    Mafisadi watarajiwa hao leo wanachaguliwa kwa rushwa yani hii nchi imeshauzwa na rais yupo kimya
  6. L

    Kigwangalla aitwa na kamati ya maadili na maandamano yake kusitishwa na CCM, yeye asisitiza yapo!!

    HKigwangalla acha uongo na wewe alokutuma pia acheni uongo na wala usitafute umaarufu kwa kupitia maandamano yasokua na tija kwa wana nzega kiufupi nakupa habari za uhakika kwani mie nipo familia na mazingira ya wana nzengo, hakuna anaetambua maandamano yako. Labda uje na hao magamba wenzako...
  7. L

    Pinda na umiliki wa Sumry Express

    Bibi Kiroboto ni mmiliki halali wa mabasi ya Super Feo yanatoka Dar Songea
  8. L

    KIGWANGALAH @ WORK; Maandamano! Maandamano! Maandamano!

    Kigwangallah ndugu yangu acha unafiki kwani hautokusaidia kitu wewe usidhani kisa nzega ni kijijini basi utapata umaarufu kwa mipango yako yako isioendelevu.Sasa ebu nikuulize unaandama ili nini na iweje kwani mgodi wenyewe wa Resolute unafungwa august je waandamana ili usifungwe o wat?mimi...
  9. L

    Hawa Ghasia mulika Nzega, mkurugenzi si msikivu

    Mheshimiwa Waziri wetu wa TAMISEMI kwa heshima Tunakuomba uimulike halmashauri ya wilaya ya Nzega kwani ni miongoni mwa Halmashauri zinazoendeshwa bila utaratibu.Naamini mfupa ulomshinda Mkuchika JK ameeamini wewe utauweza ndo mana akakukabidhi wizara hii nyeti kwetu sisi watumishi wa Local...
  10. L

    Pspf

    jamani kwa wale tulofanya interview Pspf tar 19 march je washaita watu wao kazini?sie watoto wa kina baba kabwela najua hatuez kuingia palee.
  11. L

    Kigwangallah mbunge wetu nzega walimu tunanyanyaswa na mkurugenzi

    Mh.mbunge wetu tunakuomba uje jimboni kusaidia kutatua kero hii nyingi zinazotukabili sisi walimu.Kwanza mwaka jana tulipewa barua za kupanda madaraja kutoka ofisi ya TSD wilaya lakini mkurugenzi MR.Kitundu na Mr.Nganya wametunyang'anya madaraja hayo bila sababu za msingi Mkurugenzi huyo ambae...
  12. L

    Unaelewaje hii picha.

    wezi wote hao hakuna mpya apo
  13. L

    Eti hili lina ukweli kuhusu wakaka wenye haya majina?

    kweli wenye majina hayo wengi nnaowafaham wapo kawaida 2
  14. L

    salaam

    most welcom
  15. L

    Kweli CHADEMA wanapendwa hivi au Macho yangu!?

    Kiukweli kabisa ccm hawana chao 2015 na wenyewe wameanza kuliona hilo nawaomba tu vijana wenzngu wahakikishe inapotokea suala la kujiandikisha wakati wa kurekebisha daftari la wapiga kura wajitokeze kwa wing ili wote tuwe na shahada za kupigia kura ili 2015 tukamalizep huu utawala wa kisultan...
Back
Top Bottom