Hawa Ghasia mulika Nzega, mkurugenzi si msikivu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa Ghasia mulika Nzega, mkurugenzi si msikivu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LUSANGA, May 30, 2012.

 1. L

  LUSANGA Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mheshimiwa Waziri wetu wa TAMISEMI kwa heshima Tunakuomba uimulike halmashauri ya wilaya ya Nzega kwani ni miongoni mwa Halmashauri zinazoendeshwa bila utaratibu.Naamini mfupa ulomshinda Mkuchika JK ameeamini wewe utauweza ndo mana akakukabidhi wizara hii nyeti kwetu sisi watumishi wa Local government.

  Kiufupi Nzega kwa sasa kuna tatizo la Promotion za Watumishi Tatizo kubwa lipo Elimu na Afya hapa Mkurugenzi na Afisa Utumishi Mkuu wameshindwa kutatua na kubakia kua wababe tu. Huyu mkurugenzi anaitwa Kitundu ni fisadi sana anatumia mali za halmashauri kwa manufaa yake binafsi lakini hajali watumishi.

  Tarehe 1 June walimu na manesi wamepanga kugoma kuendelea na kazi mpaka mkurugenzi huyo na afisa utumishi wake watakapokua wameondolewa kwani ni wauwaji wao wanajua kua na cheo kikubwa ni urahisi kwao kupata wanawake na wakiendelea na ubabe wao.

  Mh.waziri tutakueleza madudu yote hapa jamvini.Tunaomba kwani tuna Wabunge wawili wote wameshindwa kutusaidia Kigwangallla pamoja na Zedi wa Bukene wote ni hopeless.

  Tanzania Bila Viongozi Wabovu Inawezekana chukua Hatua Mama.
   
 2. N

  NKINKI Member

  #2
  Jan 8, 2013
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Hujaeleza mapungufu ya Mkurugenzi ni yapi?
   
Loading...