idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
yale mabasi yenye picha y penguine yanaitwaje? huwa yanapiga ruti za dar-mbeya na dar-tunduma.
yale ni tajiri mmoja anaitwa supar feo wa songea japo inasemekana na mama Makinda ana mkono wake.!
yale mabasi yenye picha y penguine yanaitwaje? huwa yanapiga ruti za dar-mbeya na dar-tunduma.
yale ni tajiri mmoja anaitwa supar feo wa songea japo inasemekana na mama Makinda ana mkono wake.!
Samahani, hivi Yule bibi kiroboto kule mjengoni anadaiwa kumiliki mabasi gani vile? Naomba kukumbushwa
Toa uthibitisho sio kupayuka payuka tu.Wanajmvi huyu jamaa kwa nje anaonekana msafi kiundani ni mchafu kupitiliza toka aukwae u-PM amekomaa kuchota pesa zetu na kuzipeleka kwenye SUMRY EXPRESS na sasa wameona kama wanashtukiwa wamenunua kampuni ya MBEYA EXPRESS kupotezea. Hebu cheki ule Uwanja wa ndege MPANDA ulivyotengenezwa fasta. Pia, alitaka Yambesi awe Katibu mkuu kiongozi kwa sababu wanatoka wote RUKWA mzee Luhanjo akamzidi kete kwa kumpendekeza best yake mzee OMBENI. Kuweni makini na huyu mtu nje anajifanya anamwaga chozi kumbe fisadi kiaina. Zaidi anajidai anapigia debe kilimo kwanza kumbe ndo anapofisadi kuanzia Matreka,Mbolea etc.......MKUU TUMEKUSHTUKIA
inawezekana vipi bila ushahidi kaka, mbona mpika majungu ivo wewe??? administrator unaachaje wapika majungu kutawala JF badala ya great thinkers??? Fanyia kazi hii.
Pinda ni msafi? Sasa anafanya nini kambini kwa wezi? Kikwete anazuliwa, Pinda anazuliwa, Lowassa anazuliwa, Nape anazuliwa, Chenge anazuliwa...! Sasa kama viongozi wa serikali, viongozi wa CCM pamoja na wabunge wote wa CCM wanazuliwa, hao "oil chafu" ndani ya CCM na serikalini, huo uzito wa kutokuelea wanaupata wapi?Mh! Mungu anisamehe lakini PINDA ni msafi jamani kwanini mnapenda kuzulia watu mambo? simjui hanijui lakini huyu baba MNAMUONEA !
Ni bora nimwamini Luhanjo kuliko huyu jamaa yenu. Na huo mkoa wake aliouanzisha sijui but kwa mawazo yangu ufisadi siyo HEPA tu maamzi mabaya nayo ni ufisadi hatarishi zaidInawezana ikwa kweli
ndani ya ccm
hamna msafi!
Wanajmvi huyu jamaa kwa nje anaonekana msafi kiundani ni mchafu kupitiliza toka aukwae u-PM amekomaa kuchota pesa zetu na kuzipeleka kwenye SUMRY EXPRESS na sasa wameona kama wanashtukiwa wamenunua kampuni ya MBEYA EXPRESS kupotezea. Hebu cheki ule Uwanja wa ndege MPANDA ulivyotengenezwa fasta. Pia, alitaka Yambesi awe Katibu mkuu kiongozi kwa sababu wanatoka wote RUKWA mzee Luhanjo akamzidi kete kwa kumpendekeza best yake mzee OMBENI. Kuweni makini na huyu mtu nje anajifanya anamwaga chozi kumbe fisadi kiaina. Zaidi anajidai anapigia debe kilimo kwanza kumbe ndo anapofisadi kuanzia Matreka,Mbolea etc.......MKUU TUMEKUSHTUKIA
Labda kwa ule msemo usemao "samaki akioza mmoja basi wameoza wote" Watawala wetu walio madarakani wengi wao ni mafisadi na wenye kujineemesha wao wenyewe, lakini mimi binafsi naamini wapo wachache ambao ni waadilifu. Nisingependa kuwataja lakini ni muhimu tukubali hilo.Inawezana ikwa kweli
ndani ya ccm
hamna msafi!