Unaelewaje hii picha.

tz1

JF-Expert Member
Mar 19, 2011
2,121
534
IMG_8821.JPG

Kama haamini vile kilichotokea.
 
Muone alivyovimba yeye anadhani ni unene kumbe dhambi zimemfumuka ili kila Mtanzania amuone
 
Anafikiria baada ya hapa... Maisha yatakuwaje eti.... ? Nae aliisha Zoea kuitwa Mzee na ulinzi mkubwaaaaa! Maisha bwana !
 
hii kali jamaa anajifanya mwema sasa ngoja tuone amesema bunge lijalo atatupa ukweli halisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom