Pspf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pspf

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by LUSANGA, May 19, 2012.

 1. L

  LUSANGA Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani kwa wale tulofanya interview Pspf tar 19 march je washaita watu wao kazini?sie watoto wa kina baba kabwela najua hatuez kuingia palee.
   
 2. m

  mhondo JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Kama unajua huwezi kuingia ni bora usiulize ili usiumie.
   
 3. m

  moyo wangu Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 59
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Kama huna ndugu pale ucjisumbue maana mimi kuna mtu namjua pale kila zktoka nafas za kaz lazma anambie ila bahat mbaya unakuta sicho nilichosomea....pspf wanaundugu sana na wanaekana marafiki wenyewe kwa wenyewe
   
 4. b

  bodachogo Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 89
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mfuko wa watoto wa wakubwa,pole kama wewe sio
   
Loading...