Recent content by Luiz

  1. L

    JamiiForums Tanzania Natangaza KUJITOA Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    nashauri walimu kuwe na vyama viwili chama cha walimu shule za msingi na chama cha shule za sekondari kwani chama hiki kimeongozwa sana walimu wa shule za msingi kwa mda mrefu ambao ni waoga na wametumika sana na serikali ya chama mapinduzi ndo maana mpaka sekta ya ualimu haithaminiwi hata kidogo.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mh. Mbowe kuhutubia mkutano mkubwa leo Mbeya

    kamanda ndio anaingia mda huu hakuna cha mvua.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Huyu ndie Padre aliyeuawa Zanzibar

    Uamusho hao dawa yao ni ufaransa na marekani. Rest in peace father.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Serikali na ajira za walim 2013

    mwezi january bado haujaisha muwe wavumilivu.
  5. L

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee Hall

    saccos ya vijana ccm.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mchague msanii bora wa mwaka 2012

    Roma anatisha.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Je, mke wangu ananibaka?

    wewe unamatatizo ya kisaikolojia ebu nenda vituo vinavyotoa saikoloji ya mapenzi na kama unafanya kazi ngumu punguza harafu jaribu kula vyakula vinavyoleta nguvu za kiume plse usiende kwa waganga wa kienyeji watakuibia.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya kukimbia shule, masikini CHADEMA...

    mbuna Nnauye jr mbona hujibu hoja au matusi ndio unayaweza? Huyu mtu msituletee tena hapa pambafu.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kufuga kwa mara ya kwanza

    mwanzo mgumu uckate tamaa ulichokosea kingine usimwage chakula chini ni rahisi sana kupata magonjwa tafuta vyombo vya kulia ni vya bati vinauzwa kwenye masoko ya kawaida hakikisha sehemu wanaporia ni pakavu .
  10. L

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kufuga kwa mara ya kwanza

    araway kama upo hapa nitafute kwenye namba hii 0764860293 ninakauzoefu kidogo na ufugaji wa kuku wa kienyeji kwa ugonjwa wa kideli kuna dawa inaitwa FLUBAN kuna kitu naona umekosea jitaidi nitafute nikuele vizur.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Sipo tayari kulea mimba kabla ya ndoa

    wewe ebu jipange ufanye ngono zembe harafu umwachie mzigo mtu mwingine ungelijua hilo ungetumia kinga ebu acha ulofa huo.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kuku wakubwa wazuri wa nyama

    unapatikana mkoa,wilaya gani?
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mume wangu karogwa.

    uamusho hadi JF mnachafua hali ya hewa.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kudumisha penzi!

    Tunashukru kwa ushauri wako ila siku nyingine usitumie lugha za matusi kama kilaza huo ni unyanyapaa kwa mgonjwa au wagonjwa hufai kuitwa dokta.
  15. L

    JamiiForums Tanzania Unafanya nini baada ya kumaliza ku 'DO'?

    umeniwahi mkuu.
Back
Top Bottom