Mume wangu karogwa.

Pole sana, ila kaza Moyo yataisha ....mganga nibinadamu Kama wewe anamuomba mungu,ni bora ukamuomba mungu kwa nia safi na atakupa mumeo Kama Ana kheir na wewe...
 
Yesu alishawahi kuwa na familia? Sasa mambo ya kifamilia atayatatuaje? Au yuko kama mapadri wanaofungisha na kusuluhisha ndoa ilhali wao hawajui hata maana ya send-off, kitchen party ama bed party? Au wanao utaalamu wa kinadharia tu bila vitendo? Hata kwa waganga wa kienyeji ambao mkuu wao ni shetani, bosi shetani aka ibilisi hajawahi kuwa na mke hivyo kuwapelekea shida za kwenye familia ni kuwaonea tu. Solution ni kurejea upya viapo vya ndoa yenu (wakristo si huwa mnaapa eti msitenganishwe hadi kifo tu?). Kwenye ndoa utavumilia shida, raha, magonjwa, afya, etc. so, solution number 1 ni KUVUMILIA. Kama hiyo itakushinda basi JIVUE GAMBA na uanze kupambana naye kupitia sheria za nchi! Mwisho, unaweza kumuacha tu kama ilivyo.

uamusho hadi JF mnachafua hali ya hewa.
 
Hahaha. Huyu Mungu huyu! Yaani kwanza asitoe namba yake. Lakini akupm wewe ili umuelekeze jinsi ya kuomba rehema. Lakini at the same time kama asipoomba rehema, basi Mungu huyu huyu atamuongezea mumewe nyumba ndogo hadi ajisafishe.

Huyu ni Mungu ama mungu?
pole sana sana sana ....dawa unayo wewe mwenyewe hapa Jf utakachopapta ni wasaidizi wa mumeo na ole wako utoe namba ukiitarajia msaada .......Nikupe siri nenda kajiangalie mwenye we kwanza uhusiano wako na Mungu ..anagalia wapi umekosea alafu ni Pm nikusaidie jinsi ya kuomba rehema ya Mungu kwa yote uliyofanya kabla ya kuendlea kufanya maombi kwa ajili ya Mungu wako..unajua kama na wewe auko sawa na Mungu ukisali kumwombea Mungu unachofanya ni kumuongezea nyumba ndogo lazima ujisafishe kwanza

Mwisho nakutakia kila la kheri na Mungu wa mbinguni akamtie hofu mumeo ajue umuhimu wa mkeo
 
Kuna njia 2 za kupitia

1. FIGHT FOR YOU SURVIVAL
Nenda ustawi wa jamiii kablock 75% ya Kimshahara cha mumeo ofisini ili umuhudumie mtoto,
Mtafute huyo shankupe umpe kipondo afu mlaze ndani wiki nzima( ni haki yako kikatiba)
Muweke vikao lukuki mumeo na wazazi wake, muaibishe kwa mchungaji na rafikize kwa kulalamika mateso

2. Do nothing and pray!!!!! Ila jiulize je wewe ni msafi wa moyo? sala za wasiwasi hazifiki upesim.


Ushauri wangu pambana njia za kinondoni hapo namba 1 hata mganga haoni ndani, ubabe ubabe tuuuuuu!

Kama THE BOSS alivyosema, huu ni uwanja wa kungwi mzoefu lara1 kwani ushauri aliotoa ni bora sana ila cha kuongeza hapa namshauri dada uongeze mapenzi mara mbili zaidi ya awali. Epuka kuishi kwa mazoea.
 
Plan A.Tamka ukimaanisha kuwa hizo nguvu za uchawi zimeshindwa na uamin atachange.

Plan B.Mtafute uyo mdada kwa majesh ya mashostito vzabizabi wa mjini, mpe kubwa za kufa m2, nipm nkupe kampan,buureee!

Plan C. Mpe dawa ya kuharisha ya kimasai mumeo aharishe ad atie akili! Yan akikujb jeuri, mkomeshee ahare hasa akiwa hana dalili ya kurud home.

Plan D. Washirikishe wanamaombi na wazee wa kanisani,waombee nguo yake wavunje nguvu zote za giza.

*AKILI KICHWANI MWAKO NA MUNGU AKUONGOZE*
 
Kinachomtokea mumeo yeye mwenyewe hakijui, kama kweli unampenda msaidie. Hakuna mwanaume anayeweza kuacha kumpenda mkewe mjamzito na baadae akiwa na mtoto halafu ampende mwanamke mwingine mwenye watoto watatu wasio wake. Hajitambui huyo, kachukuliwa msukule. Hata kama humpendi tena msaidie tu kama ambavyo ungemsaidia mtu yeyote yule. Kama unaamini ushirikina upo, nenda kwa mganga. Kama hauamini nenda kwa maombi. Kama hauamini vyote chukua hatua za makusudi kuhakikisha mumeo anapigika kifedha, huyo mwanamke atamwacha tu.
 
Back
Top Bottom