Natangaza KUJITOA Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

Natangaza KUJITOA Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

Wapumbavu tu nyie walimu,mmeshindwa kuungana kudai haki zenu mmebaki kulalamika tu,subirini uchaguzi umekaribia mkasimamie mpate hizo 2000 zenu ndo stahiki zenu!
 
Waalimu Wenye ni Failure wa form 4/6 bado mnadai maslahi.

. Kaeni Kimya!
 
Wapumbavu tu nyie walimu,mmeshindwa kuungana kudai haki zenu mmebaki kulalamika tu,subirini uchaguzi umekaribia mkasimamie mpate hizo 2000 zenu ndo stahiki zenu!

ualimu ni sekta ya ajabu sana, inapata wafanyakazi wa ajabu ajabu!
 
Hivi kwanini amuanzishi chama Kingine? Kuwe na chama cha walimu wa Primary na Sekondary ? Hii inaweza kusaidia katika harakati zenu.
 
mm ndio nimeingia juzi kwenye ajira mpya za serikali. Tulipofika tu mkuu anatutisha eti mambo ya siasa tuachane nayo,Huo ni ujinga,drns kwangu mm kipindi cha dk 80 lzma niwe na dk 20 za kuwaeleza wanafunzi wangu uovu na ubaya wa serikali na huwa ninazitumia kisawasawa,na mwisho wanafunzi wachache lzm uwaone wanatoa machozi na ni lzm waniulize mwl tuambie tufanyeje?Swali hili lina ujumbe mzito kwa serikal ya ccm kwani ninawaeleza yawapasayo kufanya.
SERIKALI KUWA MAKINI SANA,VIJANA TULIOMALIZA SHAHADA NDIO TUMEKAMATA SYSTEM YA ELIMU HUKU MASHULENI (SHULE ZA KATA),WALE WALIMU WAZEE WA ZAMANI WANAOTII UPUMBAVU WENU NA WALIOFOJI VYETI NDIO WANAISHIAISHIA HIVYO.
 
Kile chama ni kwa ajili ya ajira za watu na kujipatia kipato kwa wachache
 
CWT = Chama cha Wezi Tanganyika
Endeleeni kula vyetu sisi wajinga a.k.a wapumbavu.
 
CHAMA CHA WALIMU TANZAINIA CWT. ni janga kwa walimu.
Kwanza kabisa kwa sasa chama cha walimu Tanzania hakipo kwa ajili ya walimu na badala yake wanafanya biashara ambazo wanaziita zinakipa chama nguvu na kuaminika wakati mwalimu hafaidiki nazo na wala hajui kinachoendelea ndani ya chama. Mwalimu anakatwa 2% ya mshahra wake kila mwezi mpaka astaafu au kufa kwake...nini hatima ya michango yake?

Jambo la kushangaza mwaka jana walimu zaidi ya 700 kigoma walitangaza kujitoa katika chama na badala yake huu ulikuwa mtaji wa kaimu katibu mkuu, rais, na mweka hazina kwenda kutuliza walimu hao ambao chuki yao ilitokana na walimu kuchukizwa na uongozi mbovu na ubadhilifu wa fedha ndani ya chama hiki. Nasema ni mtaji kwa sababu chama hiki hulipana posho shilingi 100,000/= kwa siku, watu hawa kwa muda tofauti walipokezana na kukaa muda usiopungua siku 14-25, ni kiasi gani? Hii kwao ni mtaji.
walimu hawa mpaka leo wanateseka mahakamani wakidai haki yao ya kujitoa kwani iweje kuingia uambiwe ni hiari tena kwa kujaza fomu maalumu lakini kutoka iwe lazima kukatwa ada ya huduma? Serikali haioni kufanya hivyo au kuendelea na sheria hiyo ni kuwaonea wafanyakazi waliochoka?.
Ifike wakati walimu wakatae unyonyaji wa CWT pale watu wanataka uongozi kujinufaisha na kumuacha mwalimu dhoofu lihali huku akimalizai hasira zake kwa watoto wa maskini.
 
Waalimu Wenye ni Failure wa form 4/6 bado mnadai maslahi.

. Kaeni Kimya!

Mbona unatoa povu la foma? Walimu sio failure, bali ni mental distortion iliyofanyika ili walim wajidharau na kudharaulika, na wasiungane
 
Waalimu Wenye ni Failure wa form 4/6 bado mnadai maslahi.

. Kaeni Kimya!

Mbona unatoa povu la foma? Walimu sio failure, bali ni mental distortion iliyofanyika ili walim wajidharau na kudharaulika, na wasiungane.
 
Umenena na tumekuelewa,kiukeli cwt hakitetei maslai ya walimu.Basi watueleze kesi ya mgomo wa walimi iliyofunguliwa imefikia wapi?Na mm najitoa cwt.
 
1. Hata shulen kwe2 mbn 2lipga kura hzo bila kuandika check no? 2. Mm mwnyw na ajira mpya wenzangu mbn hatukatwi cwt contribution! Unaposema ajira mpya WOTE wanakatwa unamaanisha nn?
 
nashauri walimu kuwe na vyama viwili chama cha walimu shule za msingi na chama cha shule za sekondari kwani chama hiki kimeongozwa sana walimu wa shule za msingi kwa mda mrefu ambao ni waoga na wametumika sana na serikali ya chama mapinduzi ndo maana mpaka sekta ya ualimu haithaminiwi hata kidogo.
 
Hongera mwalimu. Huku wilaya ya Same kuna bima zetu zilishaiva miaka 3 iliyopita. Tumejitahdi kuutumia uongozi wa CWT, wilaya ya Same na CWT mkoa wa KLM lakini wameshindwa kutetea Hakizetu. Hata mimi Natangaza Kujitoa CWT na natangaza kutafuta wakili wakujitegemea anisaidie kusaka madai yangu halali ya Bima iliyoiva tangu 2010.

Mwl. Kata ya Makanya

kutangaza kujitoa makato ya CWT utayasitisha je?
 
mm ndio nimeingia juzi kwenye ajira mpya za serikali. Tulipofika tu mkuu anatutisha eti mambo ya siasa tuachane nayo,Huo ni ujinga,drns kwangu mm kipindi cha dk 80 lzma niwe na dk 20 za kuwaeleza wanafunzi wangu uovu na ubaya wa serikali na huwa ninazitumia kisawasawa,na mwisho wanafunzi wachache lzm uwaone wanatoa machozi na ni lzm waniulize mwl tuambie tufanyeje?Swali hili lina ujumbe mzito kwa serikal ya ccm kwani ninawaeleza yawapasayo kufanya.
SERIKALI KUWA MAKINI SANA,VIJANA TULIOMALIZA SHAHADA NDIO TUMEKAMATA SYSTEM YA ELIMU HUKU MASHULENI (SHULE ZA KATA),WALE WALIMU WAZEE WA ZAMANI WANAOTII UPUMBAVU WENU NA WALIOFOJI VYETI NDIO WANAISHIAISHIA HIVYO.

laiti kila mwalimu angefanya hivyo ukombozi wa taifa letu usingechelewa kiivi
 
Ukiona taabu inaongezeka jua ndo neema inakaribia niwakati sasa wa kupiga moyo konde na kusonga mbele ktk kudai haki yenu japo kwa awamu hii ni vigumu 7bu serikali hii siyo sikivu hata kidogo na rais amekuwa bubu hata kwa mambo yenye maslahi kwa taifa
 
Back
Top Bottom