zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,938
Let his soul rest in peace. Amen
You should enter into peace when you are alive.
Let his soul rest in peace. Amen
Uchunguzi wa kina ufanyike ukizingatia maeneo yafuatayo:
1. Kumewahi kutokea malumbano specific katika kanisa lake baina ya waumini na mapadri?
2. Padre alikuwa analalamikiwa katika jamii anayoishi? kwa lipi?
3. Je! Padre alikuwa na mahusiano yoyote na watoto wadogo hasa wakiume? wakati wowote ule?
4. Je! Padre kama mchagga alikuwa nafanya biashara yoyote akiwa Padre? kuzulumiana kukoje?
Nk NK
mambo yote haya aliye yaanzisha ni Ustadhi Ilunga wa Tabora , kwa kuubiri Chuki baina ya Ukristo na Uislam. yaani huyu jamaa ni hatari lakini Serikali inamwachia tu.
Imechukua miaka mingi kwa Padre kusomeshwa na kufikia apo.Afu wanywa kahawa wenye elimu ya chuo wamechukua roho yke iv iv. Mungu akupe pumziko la milele.
You should enter into peace when you are alive.