Finca...
Uliwatuma baada ya kunywa KichuRI kilicho na #@$vi mengi siyo!? wameumbuka masalia wako! kila mkutano una walengwa! Hiyo janja ya nyani kutuletea ALSHABAB waje watulipue mlitumwa na nani? na KICHURI aliwanunulia nani?CHADEMA hakuna dhambi mbaya hapa duniani kama ubaguzi kama kweli ninyi ndiyo mnategemea kura za wananchi ziwapeleke ikulu mbona mnawafukuza wapiga kura wenu kwa sababu ya ubinafsi hamkujifunza kwa kafulila mlimfukuza akaenda nccr akawasidia kupata wabunge watatu kigoma nanyi baado naendelea na ujinga wenu huo wa ndiyo mzee mkiambiwa ukweli mnatukana sasa nyinyi endeleeni kutukana mwishoe mtajitukana wenyewe siasa sio ugomvi inatakiwa anayekataa sera zako umtafute umwambie hoja zako sasa ninyi mnatukana mnafukuza je mtaongoza nani sasa siku isiyo julikana mkiingia ikulu?
Mwalimu?
![]()
Unajua kuwa huko ulikoanzia umaduni wa cap, ni utovu wa nidhamu wa mwisho kuzungumza na mtu katika sehemu yoyote formal ukiwa umeivaa?
Hatimaye kimeanza kueleweka![TABLE="class: Msotablegrid"]
[TR]
[TD]jimbo[/TD]
[TD="width: 66, bgcolor: Transparent"]vijiji[/TD]
[TD="width: 114, bgcolor: Transparent"]vitongoji[/TD]
[TD="width: 66, bgcolor: Transparent, colspan: 2"]cdm[/TD]
[TD="width: 60, bgcolor: Transparent, colspan: 2"]ccm[/TD]
[TD="width: 132, bgcolor: Transparent, colspan: 3"]% cdm ushindi[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 145, bgcolor: Transparent"]muleba kusini[/TD]
[TD="width: 66, bgcolor: Transparent"]5[/TD]
[TD="width: 114, bgcolor: Transparent"]13[/TD]
[TD="width: 33, bgcolor: Transparent"]3[/TD]
[TD="width: 33, bgcolor: Transparent"]7[/TD]
[TD="width: 29, bgcolor: Transparent"]2[/TD]
[TD="width: 31, bgcolor: Transparent"]6[/TD]
[TD="width: 66, bgcolor: Transparent"]60[/TD]
[TD="width: 64, bgcolor: Transparent"]54[/TD]
[TD="width: 2, bgcolor: Transparent"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 145, bgcolor: Transparent"] muleba kaskazini[/TD]
[TD="width: 66, bgcolor: Transparent"]3[/TD]
[TD="width: 114, bgcolor: Transparent"]7[/TD]
[TD="width: 33, bgcolor: Transparent"]2[/TD]
[TD="width: 33, bgcolor: Transparent"]4[/TD]
[TD="width: 29, bgcolor: Transparent"]1[/TD]
[TD="width: 31, bgcolor: Transparent"]3[/TD]
[TD="width: 66, bgcolor: Transparent"]67[/TD]
[TD="width: 64, bgcolor: Transparent"]57[/TD]
[TD="width: 2, bgcolor: Transparent"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
hahahaha unaelekea kubadiri thread kabisa.....
Huu utamaduni wa watu kuvaa cap wakati wanahutubiana umetoka wapi?
Urugaruga tu
View attachment 81169Tishirt bomba hizo zinapatikana wapi?
Naomba kuuliza, ZZk ni mjumbe katika mkutano mkuu??
kama upo Dar ni Kinondoni Manyanya mtaa wa Togo, kama upo mkoani ni pm nikufanyie mpango wa kukutumia ,bei ni 15,000/
Sometimes mkiitwa wapumbavu na wanafiki wakubwa mnalalamika mmetukanwa. Hebu angalia taswira ya kikao cha November 11, 2012 huko Dodoma mlikoitana "akili za samaki". Vipi hapo. MaCCM bana:
View attachment 81167 View attachment 81168View attachment 81169
Kwa hisani ya TASWIRA ZA MKUTANO WA NEC - CCM MJINI DODOMA LEO - Global Publishers
Page ya 6 blah blah tu!!!! Mods unganisha hii na zile zingine za akina Mohamed Mtoi maana hapa sasa ni porojo tupu.
Na magwanda ya uhakika yameletwa na AKs pale Mlimani City kila moja Tshs 380,000/=
CHADEMA hakuna dhambi mbaya hapa duniani kama ubaguzi kama kweli ninyi ndiyo mnategemea kura za wananchi ziwapeleke ikulu mbona mnawafukuza wapiga kura wenu kwa sababu ya ubinafsi hamkujifunza kwa kafulila mlimfukuza akaenda nccr akawasidia kupata wabunge watatu kigoma nanyi baado naendelea na ujinga wenu huo wa ndiyo mzee mkiambiwa ukweli mnatukana sasa nyinyi endeleeni kutukana mwishoe mtajitukana wenyewe siasa sio ugomvi inatakiwa anayekataa sera zako umtafute umwambie hoja zako sasa ninyi mnatukana mnafukuza je mtaongoza nani sasa siku isiyo julikana mkiingia ikulu?
Kwa hiyo bei yatakua ya ukweli sana, japo pale kino pia nimeona full khaki na ni nzuri yana lebo ya M4C kwa ndani ,bei ni 150,000/
Na magwanda ya uhakika yameletwa na AKs pale Mlimani City kila moja Tshs 380,000/=
Mwalimu?
Sometimes mkiitwa wapumbavu na wanafiki wakubwa mnalalamika mmetukanwa. Hebu angalia taswira ya kikao cha November 11, 2012 huko Dodoma mlikoitana "akili za samaki". Vipi hapo. MaCCM bana:
Kwa hisani ya TASWIRA ZA MKUTANO WA NEC - CCM MJINI DODOMA LEO - Global Publishers
Kwa hiyo bei yatakua ya ukweli sana, japo pale kino pia nimeona full khaki na ni nzuri yana lebo ya M4C kwa ndani ,bei ni 150,000/