Mh. Mbowe kuhutubia mkutano mkubwa leo Mbeya

Mh. Mbowe kuhutubia mkutano mkubwa leo Mbeya

makamanda wanakaribia kuingia viwanjani, barabara hii highway ya Dar-Zambia imejamu, hapapitiki tena magari yamesimama.3
 
mkutano nahisi umekosa watu makini kama aki na zzk jjmnyika.hawa ndio majembepip yanayoongea kwa data zilizofanyiwa utafiti.lkn kwa crue ya leo walau mdee atawafunika.pua silinde walau lkn mbowe na waliosalia hawana hoja.wataongea yaleyale.wa mjini wataambiwa nafaka zimepanda bei na kijijini wataambiwa nafaka hazina bei.yani wanacheza na akili za watu hasa wasiokua na uelewa.
 
20130228_144331.jpgHili ndi jukwaa, watu wamejaa,viongozi hawajawasili
 
mkutano nahisi umekosa watu makini kama aki na zzk jjmnyika.hawa ndio majembepip yanayoongea kwa data zilizofanyiwa utafiti.lkn kwa crue ya leo walau mdee atawafunika.pua silinde walau lkn mbowe na waliosalia hawana hoja.wataongea yaleyale.wa mjini wataambiwa nafaka zimepanda bei na kijijini wataambiwa nafaka hazina bei.yani wanacheza na akili za watu hasa wasiokua na uelewa.

Naona leo ndio uko zamu
 
..MAKAMANDA.......tulianza zamani sasa "TUNAMALIZIA" .....!!

Kweli mlianza kale!. Funguka kidogo kamanda. Huyu ndiye alikuwa kamanda mkuu wa jeshi la anga ama la nchi kavu? Hao aliokuwa akisema nao walikuwa wapiganaji ama wahanga?
 
Niko tayari eneo la tukio,kweli CCM kwisha habari yao! Watu ni wengi sana hapa viwanja vya Shule ya Ruanda-nzovwe! Kweli hii ndio Chadema funiko la zege!
 
picha please, ikiwezekana mtupie kabisa video baada ya mkutano ili na sisi tucheki ambao tumekosa fursa ya kuja huko.
 
20130228_161210.jpg20130228_161210.jpgviongozi wa chadema walipokuwa wanaingia kwenye viwanja, mtanisamehe wakuu picha hazionekani vizuri, watu ni wengi nilishindwa ksogea karibu.
 
Kweli mlianza kale!. Funguka kidogo kamanda. Huyu ndiye alikuwa kamanda mkuu wa jeshi la anga ama la nchi kavu? Hao aliokuwa akisema nao walikuwa wapiganaji ama wahanga?

...majeshi yote likiwemo jeshi la ulinzi wa rasilimali mfano kupambana na MAJANGILI!!!!!

Ametoka kuongea mbunge wa mbozi, Silinde, sasa ameanza kongea Peter Msigwa, anasema we can do what they can do but the cant do what we ca do, anapigiwa makofi sana hapa.
 
Anaingia Sugu ili kuzungumza, watu wanashangilia wakimuita rais wa mbeya, anasema tulieni masela, watu wanashangilia
 
Back
Top Bottom