Je, mke wangu ananibaka?

mimi ni kijana niliyeoa muda si mrefu na mke nampenmda kweli, ila siku za karibuni kuna katabia kamejengeka ka mke mke wangu kunilazimisha kufanya mapenzi hata kama sijisikii au wakati mwingine nikiwa nimechoka!a mekuwa akinilaghai na kulazimisha tufanye mapenzi bira ridhaa yangu! je naweza kumshtaki mamlaka za kisheria kuwa ananibaka au nivumilie haya manyanyaso? ushauri pliz

usimshtaki hata kidogo we mpeleke kwa mzabzab
 
Last edited by a moderator:
wewe unamatatizo ya kisaikolojia ebu nenda vituo vinavyotoa saikoloji ya mapenzi na kama unafanya kazi ngumu punguza harafu jaribu kula vyakula vinavyoleta nguvu za kiume plse usiende kwa waganga wa kienyeji watakuibia.
 
cku akitaka kufanya mapenz na wewe huna hamu mlink kwangu mwambie anipm au nipm namba yake!!nakuahd hatokubaka tena
 
Hayatuhusu. Kama huna mada kaa kimya. sio lazima kuandika kila kitu. Unataka ushauri gani? Mrudishe kwa wazazi wake. Acheni kuleta mada ambazo hazina mashiko. Mkome kabisa hii tabia ya kuleta mambo ya nyumbani kwenu hapa JF.

Bazazi hakubaliani na Mwanamalundi!
Kwa nini akinya kuku sawa;
Akinya bata kaharisha?​
Msaidie apunguze kunyanyaswa badala ya kumtukana na kumbeza.

Kaka usipomridhisha mkeo ndio chanzo cha kuridhishwa na Baradhuli;
Baradhuli atambikiri tiGO na kuchafua k#m@ qa mitombo ya hatari ya kufa mtu.
Kaa ufikiri vizuri na ujiandae qa kila hali hapo nyumbani.
Hakikisha unakula vizuri, unapumzika vizuri na kutoa dozi kali atakayomchosha siku saba.

Bazazi ni Bazazi!
 
Narudia tena. Hii tabia ya kuandika mada za kitoto ikome. Kama hana cha kuandika anyamaze kimya. Tutasoma michango ya maana kutoka kwa akina mzee mwanakijiji. hapa JF wanapita watu wengi sana. Kuna wanachama 101,068 hapa JF. Embu kuweni wastaarabu kidogo.
 
hivi we mwanamalundi unaishi sayari ipi maana kila liletwalo wewe halikuhusu tushirikishe basi ya huko sayarini kwenu

Suprise. Naishi katika sayari inayoitwa dunia. Hii tabia ya kuleta mada za kitoto humu ndani tunataka tuikomeshe kabisa. Kama huna cha kuandika, tulia, nyamaza kimya. Soma michango iliyoenda shule, ya akina mwanakijiji. Huyu mtoa mada ana-abuse muda wa watu wanaokuja kuchota elimu hapa. Narudia tena. Hii tabia ya kuleta mada za kitoto is getting very serious. Ikome mara moja.
 
kabla ya kuingia kitandani kunywa supu ya pweza na tende-shake ili kibao kimgeukie yeye(mkeo)
 
mimi ni kijana niliyeoa muda si mrefu na mke nampenmda kweli, ila siku za karibuni kuna katabia kamejengeka ka mke mke wangu kunilazimisha kufanya mapenzi hata kama sijisikii au wakati mwingine nikiwa nimechoka!a mekuwa akinilaghai na kulazimisha tufanye mapenzi bira ridhaa yangu! je naweza kumshtaki mamlaka za kisheria kuwa ananibaka au nivumilie haya manyanyaso? ushauri pliz

Acha UNGESE, afanyeje wakati wewe ndiyo mume wake.! Mh! MAKUBWA
 
ulimuoa wa nini mtu huna uhitaji si kumtia majaribuni mwenzio huko. umejaribu kuongea nae kuhusu hilo?
mmahe we mzuri, ila jamaa mi simuelewi sasa alimuoa ambandike ukutani au sababumkewe siomzuri kama wewe.
 
we sijui vipi mwambie awe anakula sana koni yako uone kama utazidi kukosa hamu ila naomba unihakikishie tu kwamba akikulaghai huwa unampatia kitu roho inataka halafu jitahidi kumchapa nao sana maana ndoa bado mpya.jikaze,mshughulikie jitahidi kaka.
 
Suprise. Naishi katika sayari inayoitwa dunia. Hii tabia ya kuleta mada za kitoto humu ndani tunataka tuikomeshe kabisa. Kama huna cha kuandika, tulia, nyamaza kimya. Soma michango iliyoenda shule, ya akina mwanakijiji. Huyu mtoa mada ana-abuse muda wa watu wanaokuja kuchota elimu hapa. Narudia tena. Hii tabia ya kuleta mada za kitoto is getting very serious. Ikome mara moja.
lakini akili hazifanani na ndo maana kuna vichaa na mataahira,msilazimishe akili na uelewa viwe sawa,tunatofautiana sana viwango katika kila kitu msikiuke misingi ya utu halafu hii sio mada ni tatizo hili.jambo linakuwa rahisi ikiwa tu linayemkabili analimudu
 
Unamtia majaribuni mwenzio, if you dont know to f...ck your wife there are others who can do it for you!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom