Unafanya nini baada ya kumaliza ku 'DO'?

Unafanya nini baada ya kumaliza ku 'DO'?

hahahah lol! Zamaulid shurti uhakikishe una kigudulia chako cha maji ndani ya Chumba...ukishamaliza kujirusha kwa raha zako glass mbili/tatu za maji baridi....roho yako kwatuu!!!! :bange:

nakunywa maji!!!
 
Last edited by a moderator:
Jacob zuma yeye hukimbia bafuni kuoga ili wadudu wa ukimwi wasimwingie.

hahahahahahahahaha kweli maajabu yataongezeka sana kama kweli kuonga (bafuni)tu ukimwi kwisha kweli hata Jorodan naona haifikii
 
Tunashusha ibada ya nguvu

Hongera, ni muhimu wote wawili kupiga sala ya kushukuru mara baada ya sex na mwenzio wa ndoa; ila ni kumkufuru Muumba kupiga sala ya kushukuru baada ya sex na mwenzi wa short time, labda kama ni kuomba toba kutokana na dhambi muliyomaliza kutenda.
 
kama ilikuwa kifo cha mende tunahamia mbuzi kagoma kwenda tukimaliza bafuni zen usingizi mtaaaaamu huku tumekumbatiana lol!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom