Recent content by luhota

  1. luhota

    CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

    Hii hoja ya kuwa hajamaliza form IV inatoka wapi? Au kuna CV zaidi ya moja imewekwa kwenye uzi huu? Cv ninayoiona mimi inasema kasoma O-level 1988-1991.
  2. luhota

    Kwa anaefahamu vizuri...

    Ni kuhusu jina hili Idd Amin Dadaa. Kama sijakosea hiyo bold. hivi hilo neno dadaa lilitokana na nini? naamini ma great thinkers mtanisaidia kwa hilo.. asanteni sana
  3. luhota

    Nahitaji pdf to word converter

    Asante sana, nimefanikiwa!
  4. luhota

    Nahitaji pdf to word converter

    Ninahitaji software ya ku convert pdf to world, nina document ninayohitaji ku copy tables, re punching data itanichukua muda mrefu sana.
  5. luhota

    Show ya Lema vs Pinda featuring Makinda

    Asanteni, endeleeni kutuhabarisha kadiri mambo yanavyoendelea...
  6. luhota

    GE2010 CONFIRMED: Nyamagana - CHADEMA (Wenje) watangazwa rasmi washindi

    Asante Mungu, watu walidhani nchi hii ni mali ya CCM
  7. luhota

    Mwanamke na kufika kileleni

    Hakuna uliposema ni ujuzi wa mtu mwingine, dats plagiarism
  8. luhota

    Mwanamke na kufika kileleni

    Jamani tuwe na tabia ya ku acknowledge tunapotumia kazi za watu, mnaweza kuona topic hii ni kazi ya mtu katikla link hii Dinahicious-Sex, Relationships & Love: Mwanamke na kufika kileleni . Ni copy and paste
  9. luhota

    Eti bei ya mafuta ya taa iwe sawa na petrol

    Wananchi hawastahili kubeba mzigo huu, sidhani kama wanapowachagua manyang'au walijua kuwa hii ndio itakuwa fadhila ya manyan'gau kwao. walienda na ahadi nyingi nzuri zikisema maisha bora kwa kila mtanzania yanawezekana. Walipewa Tshirt, vitenge, kanga na wale wajuaji zaidi waliambilia baiskeli..
  10. luhota

    Eti bei ya mafuta ya taa iwe sawa na petrol

    Nadhani usugu wa tatizo hili mpaka kufikia hatua ya magari ya ikulu kuwekewa chakachua ni uthibitisho kwamba EWURA wameshindwa kutimiza majukumu yao. EWURA imepewa jukumu la kusimamia masuala ya umeme na maji. Kama kuna mapungufu ya sheria ya sasa kwa kuweka adhabu ndogo kwa watu wanaouza...
  11. luhota

    How To Control Inflation in Tanzania?

    Nimefuatilia hotuba aliyoitoa Waziri wa Fedha na Uchumi alipokuwa akiwasilisha Hali ya Uchumi asubuhi ya leo, anasema inflation kwa mwezi April ilikuwa ni 9.4%, mwezi May 7.9%, sijui nini kimesaidia kupunga inflation kwani hali ya chakula bado ni tete na mafuta ndio yanapanda siku hadi siku
  12. luhota

    Tanzania haijawa tayari kujiunga EAC

    Wakati wengi hatujaridhika na mwenendo wa kasi ya mtangamano wa EAC napenda kuwa kumbusha mambo mengine yanayoendelea ambayo sina hakika kama yamefanyiwa uchambuzi wa kina kujua faida na hasara kwa Tanzania. Nchi za SADC zimeshafikia hatua ya eneo huru la biashara(Free Trade Area) ambapo...
  13. luhota

    Wajue magwiji hawa wa economics-nobel prize winners in economics

    Ni kweli inawezekana, na pengine uje na economic model itakayotoa majibu ya swali la Mhe. Waziri Mkuu"Watanzania tumerogwa???" lol
  14. luhota

    Wajue magwiji hawa wa economics-nobel prize winners in economics

    Hawa ni magwiji wa Economics na kazi zilizowapa ushindi kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita!!! 2009 Elinor OSTROM and Oliver E. WILLIAMSON for her analysis of economic governance and for his analysis of economic governance, especially the boundaries of the firm 2008 Paul R. KRUGMAN for his...
Back
Top Bottom