CV ya Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu (Mr II)

!Mbunge mmoja wa chadema ni sawa na wabunge 30 wa ccm,tafakari chukua hatua
 
While I detest anti-intellectualism, and embrace a wordly exposure to the higher levels of the ivory towers, I despise even more a yokel like overrating of academic achievements, especially the empty kind that puts a shame to rather than elevating the very idea of intellectualism.

Give me a performing trade unionist who did not go to school because he had to provide for his family early (a la Lula Da Silva) over a non performing "Dr. Kikwete" any day of the year.
 
Tuache unafiki wala ushabiki wa siasa. Elimu ni muhimu sana katika kuleta chachu ya maendeleo kwenye familia na jamii kwa ujumla. Mbunge hata kidato cha nne hajamaliza? This is shame... Let us call spade spade na sivinginevyo.

Hii hoja ya kuwa hajamaliza form IV inatoka wapi? Au kuna CV zaidi ya moja imewekwa kwenye uzi huu? Cv ninayoiona mimi inasema kasoma O-level 1988-1991.
 
Si mbaya Sugu kuwa Mbunge bila ya kuwa na elimu ambayo wengi wetu tungependa awe nayo. Kutokusoma kwake kunaweza kuwa kumechangiwa na sababu zenye msingi tu, hivyo hajachelewa akijiendeleza sasa hivi.

Na pia tunaweza kuwa tunayaongea haya yeye mwenyewe ameishaliona hilo kitambo na kujendeleza kimasomo online, tumpe muda hadi 2015 CV haijabadilika basi atakuwa naye ni Mbunge asiye amini umuhimu wa ELIMU.
 
Si mbaya Sugu kuwa Mbunge bila ya kuwa na elimu ambayo wengi wetu tungependa awe nayo. Kutokusoma kwake kunaweza kuwa kumechangiwa na sababu zenye msingi tu, hivyo hajachelewa akijiendeleza sasa hivi.

Na pia tunaweza kuwa tunayaongea haya yeye mwenyewe ameishaliona hilo kitambo na kujendeleza kimasomo online, tumpe muda hadi 2015 CV haijabadilika basi atakuwa naye ni Mbunge asiye amini umuhimu wa ELIMU.

Elimu ni nini? Ni kujiendeleza kimasomo online? Ni shahada na stashahada?

Unajua point inayoitwa "point of diminishing returns" katika uchumi?

Unaweza kumwambia Obama au Larry Page waende kusoma PhD sasa hivi wakati vitu walivyofanya katika maisha ni zaidi ya PhD?
 
Nakwenda zangu Ilala kusakasaka mademu, nipo Sinza nasaka saka mademu, nipo Masaki nasaka saka mademu maisha hayawezi kuwa matamu bila mademu-SUGU

Mara kumi Joti angekuwa mbunge.

utoto
weka cv yako na wewe
 
Pamoja na hayo yote huyu hajaficha mamilioni uswis wala kuuza wale twiga wetu kule mikumi!
 
Sugu moto Chini Hahaaaa haaaa.......Muheshimiwa spika Nahisi Utakuwa una ngoma...maana watu wangu wa kitaa wamenitonya kuna party kesho .....

Halafu tunategemea na sisi kupeleka vyombo vyetu angani ......
Pini za watoto zinatushinda....

Wabunge Pumba tupu...
Na sisi wacha tuposti PUMBA
 
Tangu nione uzi huu, nimefuatilia kwa haraka ila makini! Hansard za bunge tangu mwaka 2010-2012 sugu katokea mara kibao kutetea wananchi wa Mbeya, huyu wa Moro, sijaona mchango wake kweny hansard, sasa najiuliza, hivi hajawah kuongea ama amewahi ila haikurekodiwa kwenye hansard? Hapo vyeti unavyofananisha vina nafac gani?
 
yule wa morogoro hajawahi sikika akizungumza bungeni hata siku moja,ila huyu huwa anachangia,so tayari ni gap hilo..
Pia yule wa morogoro hajasoma hata sekondari na tena hiyo primary yake ina utata

Dah, kuzungumza bungeni ni tija?! No coment
 
Kajinyonge wananchi wa mbeya tumemchagua madk na profesa ni wezi sana afadhali sugu ana mchango mkubwa hasa akitoa single moja jukwani wananchi tunapata burudani. Na maendeleo pai
 
Back
Top Bottom