Wajue magwiji hawa wa economics-nobel prize winners in economics

luhota

Member
May 16, 2010
27
1
Hawa ni magwiji wa Economics na kazi zilizowapa ushindi kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita!!!
2009
Elinor OSTROM and Oliver E. WILLIAMSON
for her analysis of economic governance and for his analysis of economic governance, especially the boundaries of the firm

2008
Paul R. KRUGMAN
for his analysis of trade patterns and location of economic activity
2007
Leonid HURWICZ, Eric S. MASKIN and Roger B. MYERSON
for having laid the foundations of mechanism design theory
2006
Edmund S. PHELPS
for his analysis of intertemporal tradeoffs in macroeconomic policy
2005
Robert J. AUMANN and Thomas C. SCHELLING
for having enhanced our understanding of conflict and cooperation through game-theory analysis
2004
Finn E. KYDLAND and Edward C. PRESCOTT
for their contributions to dynamic macroeconomics: the time consistency of economic policy and the driving forces behind business cycles
2003
Robert F. ENGLE
for methods of analyzing economic time series with time-varying volatility (ARCH)
Clive W. J. GRANGER
for methods of analyzing economic time series with common trends (cointegration)

2002
Daniel KAHNEMAN
for having integrated insights from psychological research into economic science, especially concerning human judgment and decision-making under uncertainty

Vernon L. SMITH
for having established laboratory experiments as a tool in empirical economic analysis, especially in the study of alternative market mechanisms

2001George A. AKERLOF, Andrew Michael SPENCE and Joseph E. STIGLITZ
for their analyses of markets with asymmetric informationí

2000
James J. HECKMAN
for his development of theory and methods for analyzing selective samples
Daniel L. McFADDEN
for his development of theory and methods for analyzing discrete choice
 
Siku moja nitakuwa mimi ili kuwawakilisha Waafrika wenzangu kwa sababu yote yanawezekana.
 
Siku moja nitakuwa mimi ili kuwawakilisha Waafrika wenzangu kwa sababu yote yanawezekana.
Ni kweli inawezekana, na pengine uje na economic model itakayotoa majibu ya swali la Mhe. Waziri Mkuu"Watanzania tumerogwa???" lol
 
Ni kweli inawezekana, na pengine uje na economic model itakayotoa majibu ya swali la Mhe. Waziri Mkuu"Watanzania tumerogwa???" lol

Mbona swali lenyewe lina jibu? Tatizo badala ya kuchambua matatizo tunatafuta mchawi, tunataka kujua nani katuloga.
 
Ni kweli inawezekana, na pengine uje na economic model itakayotoa majibu ya swali la Mhe. Waziri Mkuu"Watanzania tumerogwa???" lol

Namwomba Mungu aniwezeshe,ili siku moja niweze kutoa model hiyo ambayo haina chembe ya ufisadi ili na mtu wa kawaida aweze kui-trace na kufanikiwa.
 
Namwomba Mungu aniwezeshe,ili siku moja niweze kutoa model hiyo ambayo haina chembe ya ufisadi ili na mtu wa kawaida aweze kui-trace na kufanikiwa.
Naungana nawe kwa maombi mkuu!
 
Mkuu.Malila Nami ninakuombe kwa Mola akupe mafanikio katika Malengo yako.AMINA

Vaveja sana mwanawane,
kila jema liombwalo kwa nia njema mola hutimiza. Nami naamini pamoja na maombi yako,yangu na ya wengine,juhudi ni muhimu sana kwangu/kwako/kwake,lakini tukumbuke kulinda afya zetu ili tuweze kuona/kufikia mafanikio na kuyafaidi.
 
Back
Top Bottom