Tanzania haijawa tayari kujiunga EAC

Tanzania haijawa tayari kujiunga EAC

the only comedy is when you or any of ur family member getting laid off for a burundian to take his job. now that will be comical.

kunia-bwoya, you can call kenyans whatever u want, fact is come july KENYANS ARE COMING TO TANZANIA WETHER U LIKE IT OR NOT AND YOU CANNOT DO ANYTHING TO STOP US. THAT IS THE BRUTAL REALITY STARING U IN YOUR FACE AND YOU ARE STRUGGLING TO DEAL WITH IT.

Hey Kyz just kuja bongo, but watch out your utterance, it'll victimize you, which will be different from what you expected in your mind.
Nina wasi wasi sana na wakenya wanao ongea bila ya adabu juu ya watanzania. Hii ina madhara makubwa sana ambayo wengi wanayachukulia kijuujuu tu. Hii itapelekea chuki kati ya watu wa pande hizi mbili yaani Tz na kenya. pia kutoaminiana.

ANGALIZO: YOOTE AMBAYO WATU WA KENYA WANAWATUKANA WATANZANIA YAKO MIOYONI MWETU, NA HII KWA MIMI BINAFSI INANIFANYA NISIWAFURAHIE WAKENYA. NA KWA UJUMLA INAFANYA WASIKUBALIKE NCHINI MWETU, MATOKEO YAKE NI UBAGUZI (XENOPHOBIA) KAMA ILIVYOTOKEA AFRIKA KUSINI. WATAANZA KUKIMBIZWA NA MAPANGA. NA LABDA KWA BAHATI MBAYA IKITOKEA MKENYA KAMKOROFISHA MTANZANIA BASI ITACHUKULIWA KAMA NI UKOROFI WAO NA WATALIPIZA KISASI KWA HASIRA LAKINI KUMBE IMETOKEA TU BILA KUKUSUDIA.

HIVYO AKINA SMATTA, NOMASANA, KAMAU NA WENGINE NI VIZURI KUWA WAANGALIFU MNAVYOONGEA, INABIDI MUENENDE KWA HEKIMA, KUFIKIRI KABLA YA KUSEMA.

VINGINEVYO EAC ITAKUFA KABLA YA KUANZA.
 
Mkuu asante kwa maneno ya busara. Kama umeshaangalia sana hawa jamaa zetu lugha zao ni za kashfa, dharau na matusi kwa wingi. Kama huo ndio ujumbe walionao watavuna kabla ya mvua kunyesha. Angalia sana michango yao humu hawawezi maliza kueleza wazo lao bila kuchanganya na kashfa. Na hawa ni jadi yao kukashfiana kwa makabila yao. Mtanzania hahitaji hayo! hawawezi kuja kuturudisha nyuma ambako tuliishang'arisha zamani.
Wazo kwamba msomi asiogope ushindani ni sahihi, lakini unasahau kuwa hapa watu hawajiongelei binafsi tunaangalia mustakabali wa Taifa zima.
Hakuna aliyesema hapa kuwa EAC haitakiwi bali jinsi inavyotaka kuanzishwa bado hatujaridhika nayo. Tunajua fika kuwa wanaotaka kui-fastrack hawana chochote walichojifunza kutoka kwenye EAC ya kwanza, pili hakuna utafiti wowote uliofanyika wa kulinganisha chumi husika na wqananchi wetu hawaandaliwa kufahamu jukumu la Jumuia hiyo na lao kwa jumuiya. Badala yake tunaona kuwa wapo wachache kwenye hizi nchi, tena wengine kutoka Tanzania, ambao malengo yao yamekaa kibinafsi zaidi. Namsikitikia sana aliyedhania kuwa kwa vile nimepinga hii jumuia kwa sasa naogopa kwenda kufanya kazi nje kwamba eti niendelee kukaa tu Tanzania. Huo ni uzembe wa mawazo. Kwa taarifa yako nina miaka 12 nafanya kazi nje ya Tanzania and I am pretty sure of what I am talking about. Kwahiyo usibweteke, ukiona tunaongea against EAC usidhani wote tuko kule bongo tunakuogopa unakuja mkenya unajidanganya. Tena kama ungekuwa na busara ungeona busara ya ushauri wetu kwamba utakusaidia zaidi. Si busara kwa wananchi wa nchi za Afrika mashariki kuanzisha tena hii jumuiya halafu isidumu.
 
Hakuna aliyesema hapa kuwa EAC haitakiwi bali jinsi inavyotaka kuanzishwa bado hatujaridhika nayo. Tunajua fika kuwa wanaotaka kui-fastrack hawana chochote walichojifunza kutoka kwenye EAC ya kwanza, pili hakuna utafiti wowote uliofanyika wa kulinganisha chumi husika na wqananchi wetu hawaandaliwa kufahamu jukumu la Jumuia hiyo na lao kwa jumuiya. Badala yake tunaona kuwa wapo wachache kwenye hizi nchi, tena wengine kutoka Tanzania, ambao malengo yao yamekaa kibinafsi zaidi. Namsikitikia sana aliyedhania kuwa kwa vile nimepinga hii jumuia kwa sasa naogopa kwenda kufanya kazi nje kwamba eti niendelee kukaa tu Tanzania. Huo ni uzembe wa mawazo. Kwa taarifa yako nina miaka 12 nafanya kazi nje ya Tanzania and I am pretty sure of what I am talking about. Kwahiyo usibweteke, ukiona tunaongea against EAC usidhani wote tuko kule bongo tunakuogopa unakuja mkenya unajidanganya. Tena kama ungekuwa na busara ungeona busara ya ushauri wetu kwamba utakusaidia zaidi. Si busara kwa wananchi wa nchi za Afrika mashariki kuanzisha tena hii jumuiya halafu isidumu
Wakati wengi hatujaridhika na mwenendo wa kasi ya mtangamano wa EAC napenda kuwa kumbusha mambo mengine yanayoendelea ambayo sina hakika kama yamefanyiwa uchambuzi wa kina kujua faida na hasara kwa Tanzania. Nchi za SADC zimeshafikia hatua ya eneo huru la biashara(Free Trade Area) ambapo biashara kwa asilimi 85 imeshakuwa huru (duty free). Mpango ni kuwa na biashara huru kwa asilimia 100 ifikapo mwaka 2012 kuelekea katika hatua ya customs union.. Katika kundi la SADC kuna big brother "south Africa" anayenufaika zaidi na soko hili la SADC. Majadiliano yanaendelea kati ya COMESA, SADC na EAC (TRIPARTITE) kuangalia uwezekano wa kuwa na eneo huru la biashara. Hapa ni south Africa, Egypty,Kenya ndio watanufaika zaidi. Tanzania tutabaki kuwa wanunuzi tu wa bidhaa toka nchi zenye msingi mkubwa wa viwanda. Kuna hatari kubwa ya viwanda vyetu kushindwa katika ushindani huu. Viongozi wetu wanaona fahari kuingiza nchi kwenye mikataba mingi bila kupima manufaa ya mikataba hiyo. Binafsi sina tatizo na swala la ushindani, udhaifu ninaouona ni nchi kuingia kwenye mikataba bila kuwaanda watanzania kukabiliana na ushindani utakaojitokeza. Ni watanzania wachache sana wanajua yaliyomo kwenye itifaki ya soko la pamoja la EAC, ni watanzania wachache sana wanaojua yanayoendelea SADC. Tusipokuwa makini wajukuu zetu watakuja kupiga bakora makaburi yetu kwa kuwabebesha mizigo ambayo hawakustahili.
 
Jamani huu uwoga woga na chuki pasi na sababu ya msingi zinatia aibu sasa. Ushirikiano wa raia wa hizi nchi ulikuwepo kabla hata ya mkutano wa Berlin wa mwisho wa karne ya 19 uliogawa haya maeneo kwa watawala na nchi kuzaliwa. Ushirikiano huu pamoja na misuguano (ipo mingi tu ) ni ya asili na shirikisho hili halitobadilisha mengi. Sehemu za mipakani wananchi wa nchiz zote husika wanashirikiana buila ya matatizo iwe kwenye biashara, kuoleana, doria n.k

Kwenye miaka ya sabini na themanini kulikuwa na vitu vingi sana vya magendo nchini huku kutoka Kenya mabavyo vilisaidia kupunguza makali ya kufunga mikanda enzi zile. Vile vile siku hizi wabongo mbona tunauza vingi tu kwa majirani zetu, kuanzia mbao, mahindi na vinginevyo vyingi tu.

Acheni uwoga wakuu, najua Smatta na wenzake wanawarusha roho kwa maneno yao ila kumbukeni haya ni maneno tu na "maneno matupu hayavunji mfupa" . Kuna baadhi hapa wanajigamba kwa ubora wao katika elimu na fani zingine mbalimbali sasa iweje tuogope ushindani? Nini hasa maana ya kuwa bora kama utakuwa unawakimbia washindani wako?

Ushindani huongeza ufanisi na ubora. Watu wengine mnakuwa mnawaogopa wakenya mpaka mnasahau mkono mkubwa wa Afrika Kusini hapa kwetu ambao haujanufaisha walio wengi.

Hatuwezi kuishi peke yetu peke yetu, ulimwengu huu una wadau wengi na badala ya kupinga ushindani tuuchukulie kama ni changamoto ya kuboresha pale tunapopatia na tunapokosea.

kwa mila zetu za KiAfrika, Mwanamme hamkimbii mwanamme mwenzake

Wewe, anayeogopa ushindani ni nani? Unajua mimi nimefanya kazi nchi ngapi? Utambue hii ni nchi maskini na watu wasiokuwa na kazi ni wengi mtaani na vijana wana-graduate na digrii wengi mno. Ni mpaka hao wageni waje wawathibitishie kama hizo kazi watakuwa hawaziwezi ambalo ni suala gumu. Kuna yule mzungu Mswiss alitupwa nje ya ofisi pale Muhimbili, kumbuka huyo ni Mzungu na Swiss ni donor country sasa hao chokest itakuwaje! Najua kwenye hizo kazi kutakuwa na mitandao ya utaifa ndani ya Tanzania. Mkenya atataka amwajiri mkenya mwenzake, Gikuyu amwajiri Gikuyu mwenzake n.k, je hilo siyo tatizo? Kwanza mimi sihusiki na hizo kazi wanazotarajia kufanya hao wageni, sasa naogopa nini? Kwa hiyo una maana kwamba mimi sina kazi au? Wasi wasi wangu ni ile "clean sheet" ya Tanzania kuwa nchi ya amani mbayo ilitakiwa irithishwe kwa vizazi vijavyo! Hata hivyo umeisoma Common Market Protocol kujua category za kazi zilizoruhusiwa? Unadhani hiyo excitement ya July kwamba wanakuja ni kwa ajli ya hizo kazi? Hata hivyo Waganda, Wakenya, na Wanyarwanda wanaofanya kazi Tanzania ni wengi tayari na wengine nawajua, kwani nimefanya nini? Lakini naamini itafikia kikomo na sina uhakika kamba huo mwisho utakuwa mzuri! Acha waje kwani hilo ni tatizo langu,TZ ni nchi yangu peke yangu. Nasema hivyo kwa sababu nina uhakika they are not welcome, i talk to people..wasomi wenye nchi yao na hilo suala hawalitaki na hao wengine wanasema watakuja na kufanya kazi kwa nguvu bila work pemrmit..kwa hiyo mwisho utakuwaje. Kazi zenyewe ni ngapi? LET THEM COME IN DROVES AS THEY WANT ILA NI UHAKIKA UTAKUWA NI MWANZO WA NCHII KUWA KISIWA CHA AMANI!
 
wewe ndugu yangu unakelele nyingi tu, umekwama kwenye ile era ya zamani ya kujitenga, embracing colonial boundaries, and paranoia. There is nothing you can do to a Kenyan(or any other foreigner in your country for that matter), maybe incite a few dimwits to make noise and issue threats, kuna kitu kinachoitwa sheria, maybe you are unfamiliar with it, you cant just attack people without repercussions. Mimi nimekaa Tanzania, na naapa kwa mwenyezi Mungu, hakuna kitu waweza kunifanya wewe K'bwoya the internet soldier, no matter who you think you know. You sound so juvenile and pathetic, you have no choise but to live wwith this community, doors are opening and lots of opportunities are presenting themselves, wewe ukiendelea kupinga kitu ambacho kishapitishwa na huna ushawishi wowote wa kubadilisha makubaliano ya marais wa nchi hizi zote, jua kuna watu hawalali waki strategise jinsi watakapo nufaika na hii jumuia, and let me correct you on something, big corporates are not the only ones who will benefit from this community, there are alot of people who will benefit from it. Your hate is blinding you from something that will rid this continent of its poverty, Unity.
 
Hivi kwa nn TANZANIA kama largest nation endowed with a lot of natural resources than any other EAC nation so coward with the CM protocol???????????

where is our big problem to get through and stay on the driver seat in this fast tracking federation???? jamanii tumelogwaaa na nani???????
 
Hatutaki kushea mali yetu na majirani maskini wa raslimali! Ni hilo tu! Wao hawana cha kutupa/kuchangia - kama wanacho ni kidogo sana. Sisi tunavyo vingi, na wao wanataka kuja kufaidi vyetu (wamevikodolea macho kwa tamaa ya mzee fisi). Nasi ndo maana tunashtuka na kusema "hatutaki". Lakini pia hao majirani hawana lugha nzuri/si waungwana, wana madharau, majidai, matusi na majivuno huku wanataka vya kwetu. Kwa nini tusing'ake?
 
wewe ndugu yangu unakelele nyingi tu, umekwama kwenye ile era ya zamani ya kujitenga, embracing colonial boundaries, and paranoia. There is nothing you can do to a Kenyan(or any other foreigner in your country for that matter), maybe incite a few dimwits to make noise and issue threats, kuna kitu kinachoitwa sheria, maybe you are unfamiliar with it, you cant just attack people without repercussions. Mimi nimekaa Tanzania, na naapa kwa mwenyezi Mungu, hakuna kitu waweza kunifanya wewe K'bwoya the internet soldier, no matter who you think you know. You sound so juvenile and pathetic, you have no choise but to live wwith this community, doors are opening and lots of opportunities are presenting themselves, wewe ukiendelea kupinga kitu ambacho kishapitishwa na huna ushawishi wowote wa kubadilisha makubaliano ya marais wa nchi hizi zote, jua kuna watu hawalali waki strategise jinsi watakapo nufaika na hii jumuia, and let me correct you on something, big corporates are not the only ones who will benefit from this community, there are alot of people who will benefit from it. Your hate is blinding you from something that will rid this continent of its poverty, Unity.

Wengi wa wanajukwaa (kibinafsi) hawaogopi eac na wala hawawaogopi wakenya, kwa sababu most of them are learned and seasoned persons in their professionals, mfano Kanyaboya, Wacha 1, Gezaulole, luhota, mpendaTz, Abdulah na wengine wengi, unaweza tu ukaona constructive and technical/professional arguments wanazotoa kwenye jukwaa. Tatizo linalotusumbua is our people, kama unavyojua for Tzans umimi kwanza (individualism) is not our culture, is not in our dictionary, is not in our books, is a vocabulary for us. That is why if we think about our people, how are they going to benefit from eac we see nothing hence hasira. and when we talk about of ''our people'' we mean a very normal mwananchi wa kijijini. tunauchungu sana na hawa watu wetu. tangu uhuru hawajanasuliwa toka kwenye umaskini, na mikataba mingi ambayo viongozi wetu wameiingiza nchi imewagharimu sana hawa wananchi wetu wa hali ya chini. Na ukiangalia eac haijaeleza ni jinsi gani mwananchi wa hali ya chini kijijini atakavyofaidika nayo, ukiachilia mbali masuala, ulinzi na usalama, pesa chafu,madawa ya kulevya, ambayo hayajaelezwa sawa sawa yatakavyodhibitiwa.

Hivyo sisi wanajamii hatuogopi wakenya wala nani, kwa maana tumesoma mfano mimi nasoma chuo ambacho ni among ten best universities in europe.
SO OUR BIG CONCERN IS OUR NORMAL (VILLAGE) PEOPLE, HOW ARE THEY GOING TO BE PROTECTED IN THE SO CALLED MAN EAT MAN COMING SOCIETY
.
I remain,
Eliakeem.
 
I understand and respect your fears Eli, coz to some extent they are real. We cant blindly agree on everything coming from these leaders (If our politicians can be called that) without casting our doubts coz they can easily sell us to the highest bidder, so your doubts are justified. What really bothers me is when everybody thinks that this community will benefit Kenyans and large foreignr coporates, or when people falsely beleive that Kenyans are the problem in EAC, those are pure lies, lets shed the paranoia associated with Kenyans, we are good people who want to make it in this capitalistic world and you know that the odds are always against us, so we have to be aggressive and selfish to an extent (and there is a difference between greed and selfishness). As much as we should be cautious with the community, I think thats its the best thing that has happened to East Africa in a while.
 
Mkuu kanyabwaya malalamishi ya nini yani na wewe unataka kuleta malalamishi ya akina mwakalebela hapa? usiwalaumu wanyarwanda mechi yao ilikua inajulikana awali kuliko hii ya brazil na isitoshe nafikiri KCB itakua ni benki mzawa yenye mtaji mkubwa EA, wabongo tukiendelea kulala tutakuwa mahouseboy na mahousegirl wa wakenya tuendelee kuchapa usingizi:dizzy:
 
Ukiona toto linashindwa kula kwa baba yake kila siku linadoea msozi kwa jirani basi tambua kwamba kuna shida kubwa kwani halifahamu ukilikatia line litakwenda kula wapi.
 
Ukiona toto linashindwa kula kwa baba yake kila siku linadoea msozi kwa jirani basi tambua kwamba kuna shida kubwa kwani halifahamu ukilikatia line litakwenda kula wapi.

hahahahahahahahaha... thanks for the comic releif, what would we do without you.
 
hahahahahahahahaha... thanks for the comic releif, what would we do without you.

who_we_are.jpg

Angalau unawakumbuka wanaokufadhili
na kuwaua kama tumbili, hicho ndicho wabongo hatukitaki khe khe khe khe
 
who_we_are.jpg

Angalau unawakumbuka wanaokufadhili
na kuwaua kama tumbili, hicho ndicho wabongo hatukitaki khe khe khe khe

I wount go low to your level, now I know better, ama contain ma self.
 
Mkuu kanyabwaya malalamishi ya nini yani na wewe unataka kuleta malalamishi ya akina mwakalebela hapa? usiwalaumu wanyarwanda mechi yao ilikua inajulikana awali kuliko hii ya brazil na isitoshe nafikiri KCB itakua ni benki mzawa yenye mtaji mkubwa EA, wabongo tukiendelea kulala tutakuwa mahouseboy na mahousegirl wa wakenya tuendelee kuchapa usingizi:dizzy:

Mkuu huyo ni Muhingo Rweyemamu wa Rai kama umesoma vizuri.
 
Mkuu kanyabwaya malalamishi ya nini yani na wewe unataka kuleta malalamishi ya akina mwakalebela hapa? usiwalaumu wanyarwanda mechi yao ilikua inajulikana awali kuliko hii ya brazil na isitoshe nafikiri KCB itakua ni benki mzawa yenye mtaji mkubwa EA, wabongo tukiendelea kulala tutakuwa mahouseboy na mahousegirl wa wakenya tuendelee kuchapa usingizi:dizzy:

Mkuu huyo ni Muhingo Rweyemamu wa Rai kama umesoma vizuri. Lakini kuna ukweli katika mengine, kuhusu mpira..si issue sana kwangu. Kumbuka we are surrounded by hypocrytes ambao usidhani wanakuja kuongeza tija kwenye nchi hii. Hawa ni kina Rostam na Jeetu Patel wa design nyingine. Hata hivyo sina wasi wasi kwa sababu i will fix them accordingly!
 
Mkuu kanyabwaya malalamishi ya nini yani na wewe unataka kuleta malalamishi ya akina mwakalebela hapa? usiwalaumu wanyarwanda mechi yao ilikua inajulikana awali kuliko hii ya brazil na isitoshe nafikiri KCB itakua ni benki mzawa yenye mtaji mkubwa EA, wabongo tukiendelea kulala tutakuwa mahouseboy na mahousegirl wa wakenya tuendelee kuchapa usingizi:dizzy:
Jamani sihawahi hata Siku moja kulalamikia free movement of capital. Lakini ndiyo walete na mavikuyu kuwa ma-teller hapa kwetu? Wadogo zako wataponea wapi? Mtu usijifikirie mwenyewe, watu wanapata degree kila siku...ila PATACHIMBIKA. Mi sina wasi wasi kwa sababu sisi ndio tumeshikilia mpini!
 
As for Nomasana, me and my family getting laid off because of Nyang'au treachery! I can guarantee you, you will never live to cross Namanga while fleeing to your Kibera, Dandora and Huruma. Just to prove my point, let me know where you stay when you come to Dar! You seem to very arrogant! For those wishing to come in droves, don't forget body bags, you will need them!mnaa we will be saying RIP Nyang'aus! maana mnaambiwa mnakomaa kama mshipa wa nini sijui! Mimi sipingi utaalam tunaouhitaji!!! Lakini je ni UPI??
 
Guys,dont waste time with kanyabonya,the guy is so bitter with life,why kanyaboya ana chuki sana na watu wengine,messed up big time,his signature says it all,he sound like low life government employee anaishi kwa kutishia wengine na rushwa,hawa watu shida sana,views zake ukisoma vizuri you will know the guy is just pure idiotic fantasy,kanyaboya pls hizo border closing & protectionism policy you re defending never worked anywhere,will make you poor & dumb and will take you to stone age,learn History bro from sillicon valley to agriculture in California may be you will learn something...look at kagame sasa Drs & Proffs,investors na dayworkers wanakimbilia kwake kawakaribisha with open hands,you think wanafuata land kule? mjinga sana wewe mkimbizi.
 
Wakenya walivunja EAC ya kwanza, na sisi Watanzania tuvunje hii mpya (strategically), walimwaga ugali, tumwage mboga! We don't fit! "If it doesn't fit, you must aquit" alisema Judge Johnny Cochran kwenye ile kesi maarufu ya O.J Simpson:lie:!

.....Kanyaboya Cochran was a defence lawyer not a judge!
 
Back
Top Bottom