Recent content by Lori

  1. L

    mbadala wa ndoa

    Sidhani kama kuna mbadala wa ndoa.. Ndoa ni kuvumiliana humohumo mpaka kifo kinawatenganisha.. Mme/Mke kuwa na uhusiano pembeni, inawezekana ikawa sio mtafaruku wa ndoa.. Kuna mambo mengi ambayo huwafanya wanandoa kwenda nje ya ndoa zao. Kubwa zaidi ni tamaa ya mwili na sio kingine.. Mind you...
  2. L

    Kuonja hairuhusiwi?

    Huyo dada mlikuwa mnatakana siku nyingi, si ajabu hata usingeropoka angekugawia mwenyewe.. Maana hawa madada zetu wa siku hizi anaweza akakuzimia kwa kitu kidogo sana,, Je Huyo dada ana Mume? na wewe una mke au mchumba? ANGALIA usije ukaonja asali ukachonga na MBUYU kabisa.. 'IKIMBIENI ZINAAA'
  3. L

    Nimeathirika

    Poleni wenzangu.. Mimi ni mgeni humu lakini speed niliyonayo inatisha... TUNAHITAJI MAOMBI
  4. L

    Huyu maza ni vipi?

    Achana na huyo MAZA usije jiletea matatizo. Fanya kama hayupo
  5. L

    Mambo haya hatari

    Taratibu kiongozi! Huyo ameumbika wala si dawa za KICHINA.
  6. L

    Mtoto mdogo kukosa hamu ya kula!

    Pole sana.. Mimi wangu alikuwa hivyo na nilisumbuka sana, nilizunguka mahospital mengi tofauti kwa ushauri, lkn haikusaidia kitu. Alikuwa anamaliza chakula kidogo kwa mfano wa KONZI moja kwa karibu 5-6 hrs. Ila hivi sasa, analipiza kama alivyosema Mkuu PAKAJIMMY.. Anafukia kama katoka jela...
  7. L

    Askofu anamiliki HAMMER ya 250million!

    Kaka taratibu nd yangu.. Sahihisha statement
  8. L

    Hawa mafisadi wataendelea kuichezea Serikali mpaka lini?

    Wenyewe tunalea 'UKICHEZA NA POPI, UTAINGIA NAYE IBADANI'
  9. L

    Askofu anamiliki HAMMER ya 250million!

    Kwa kuongezea hapo hapo! Je waumini wake wameishiwa kwa sababu ya kumtolea MUNGU? Kama una uhakika na hilo, unaweza kulalamika.. Lakini Nina uhakika hakuna mtu aliyewahi kumtolea MUNGU kwa moyo wa ukunjufu akaishiwa. Na ndio matunda ya viongozi.. Je hao viongozi wengine wa duniani wana mali...
  10. L

    Track Phone Number

    Ni nzuri, je imefika kwetu Bongo?
  11. L

    HI

    Tuko Junior wengi, nami naomba nijikaribishe jamvini. I hope I know nothing, but thru JF I'll learn more. Thanx.
  12. L

    Kwa Nini Baadhi ya Wasichana Wanapata Waume Wa Kuwaoa Haraka Lakini...?

    Si vizuri kwa mwanamke kukubali kirahisi kuolewa, ni muhimu sana kumjua anaoa ni nani.. Sasa basi, kile kipindi cha kutaka kujua nani anaeoa, ndio mwanamme hukumbia.. Mara nyingi wanawake waliokimbilia kuolewa haraka wamepatwa na matatizo tofauti, unakuta mwanamme anaekuoa kumbe alishaoa mara 2...
Back
Top Bottom