Wengine kazi yao kufufua misukule ya uongo!na mijitu na akili zao na hadhi zao katika jamii inashingilia na kucheza mbele ya runinga kama mitoto,hapana wengi wao wanatumia hayo makanisa kuficha maovu yao na kutafuta kuungwa mkono na jamii,ukiangalia wengi katika hayo makanisa ni watu wenye miwaa kibao,na hao utakuta ndio wamekaa viti vya mbele na malofa wanakaa nyuma,hayo makanisa ni Exclusive clubs ni sawa na zile za bilionia club katika zile picha za Kinaijeria