Nimeathirika

Nimeathirika

Na mimi nimeanza kuathirika kama mwenzetu. Kila nikiwa kwenye internet lazima nifungue JF kujua kuna habari gani mpya. Ninachopenda humu kuliko kusoma magazeti ni kwamba humu unakuta habari muhimu (headlines) za kwenye magazeti yamewekwa na zaidi unapata unafaidi uchambuzi unaofanywa na ma-memba wa JF. You get more information! Hongera JF.
 
Jamani mimi nafikiri ni worse!!!,ofisni hakuna tatizo,tatizo liko nyumbani,kwani wakati mwingine usiku nikikosa usingizi tu nahamia sebureni kwenye computer,shemeji yenu haishi kulalamika juu ya tabia hii,kitu kizuri ni kwamba yeye ndiye aliyenionyesha huku JF,Jf inatishia ndoa yangu!!!
 
Nasikia hapa kwetu wanapanga kuiwekea FIREWALL.. labda itasaidia kwa upandewangu maana cafe ni weekend tu,,,ila nitawamiss sana
 
Waajiri wameanza kuiblock hii forum kwenye server zao wakuu. Wanaona hatufanyi kazi ipasavyo
 
Nasikia hapa kwetu wanapanga kuiwekea FIREWALL.. labda itasaidia kwa upandewangu maana cafe ni weekend tu,,,ila nitawamiss sana

ahahahah...mzee kwani weye wafanyia kazi pentagon ya ubalozi wa merikani???...hii fire wall kitu ndogo tu..watu wamepenya ya pentagoni ijekuwa hizi za vijiofisi vyetu vya kiswahili...

unajuwa tushakuwa mateja wa net na hasa JF sasa inabidi kugeza tabia za mateja wa unga wakiwa na alosto ya powder..wanafanya kila liwezekanalo kupata access ya kete...net ikizingua unatumia hata laptop ya it-personell wa ofisini kwenu...au unamwibia set-up za server unakuwa una-hack kimtindo ahahahahaha...ila ucjali saaana hapa vipo vichwa vya it vitasolve
 
ako kaugonjwa ka wengi aupo peke yako tupo wengi kama nikifo nikifo cha wengi
 
Mi ni mgeni humu, mbona mnanitisha? Labda nijipe matumaini tu kuwa Hii addiction ya JF hata nikiipata, itakuwa ina faida kuzidi hasara ili mradi kuwe na Time table. Au unaonaje Bujibuji? Panga Ratiba great thinker, usiharibu kazi.
 
Poleni wenzangu.. Mimi ni mgeni humu lakini speed niliyonayo inatisha... TUNAHITAJI MAOMBI
 
Ahh, mimi nilitaka nianze kutafuta maneno mazuri ya kukufariji: kula vizuri, fanya mazoezi and so on. Kumbe umeathirika na Jamii forums? You are right! Nafikiri kila mtu anayeijua vema jamii forums ana hiyo shida.
 
Ndugu wana Jamii forums,
natangaza rasmi mbele ya kadamnasi hili kuwa mimi ni muathirika.
Nikiamka asubuhi sifanyi kitu kingine zaidi ya kuingia Jamii,
Kazi haziendi bila ka window ka jamii kuwa minimized mara maximazed.
akili yangu inawaza Jamii Forums.
Kweli mimi ni muathirika na hii kitu imemeza kabisa ufahamu wangu.
Je kuathirika huku ni kwangu mie tu au na wenzangu wapo?

Tangu usubuhi niliona hii thread sikutaka umia kichwa baada ya kutoka lunch nikasema nimpe matumaini, next time uwe makini maana mara ya mwisho kukuona ni Lilies sasa nikasema umiukwaa wapi tena Yarrabi
 
Mi ni mgeni humu, mbona mnanitisha? Labda nijipe matumaini tu kuwa Hii addiction ya JF hata nikiipata, itakuwa ina faida kuzidi hasara ili mradi kuwe na Time table. Au unaonaje Bujibuji? Panga Ratiba great thinker, usiharibu kazi.

ukweli inafaida zaidi ya hasara utajua mambo mengi na utajifunza mengi kavirus kakishakupa kukatibu ni mpaka uwe online
 
Ndugu wana Jamii forums,
natangaza rasmi mbele ya kadamnasi hili kuwa mimi ni muathirika.
Nikiamka asubuhi sifanyi kitu kingine zaidi ya kuingia Jamii,
Kazi haziendi bila ka window ka jamii kuwa minimized mara maximazed.
akili yangu inawaza Jamii Forums.
Kweli mimi ni muathirika na hii kitu imemeza kabisa ufahamu wangu.
Je kuathirika huku ni kwangu mie tu au na wenzangu wapo?

Duh, nilidhani ni kile kisa cha sms uliyoikuta kwenye simu ya mkeo! Jitahidi kutojiendekeza na mambo ka window ka JF katakutia hasara kazini.
 
jamani waadhirika woteeeeeeeeee mnaoendelea kuchat polen sana,mnitafute nina dawa ya kuwapa
 
duh yani nimestuka maana wikend tulikuwa wote nikajua kama umepata huohuo duh kale katoto sijui kangebaki na nani?labda jenny

Mie mwenzio nilijua kaathirika na MKAO WA SABA... hahahahaaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom