Mambo haya hatari

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Messages
16,277
Likes
288
Points
180

Dark City

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2008
16,277 288 180
Na wala hatakukasirikia ukikata shingo....

Au hata ukimega kitu kama wala hatamind kabisa....

Kama huna mkataba wa ka-uhuru hako unaweza kusababisha mwenzi wako ajitie kitanzi. Mimi na mdau wangu tulishapeana ruksa kuona ila ni mwiko kusonga mbele zaidi ya hapo.

Kumega hakukubaliki. Mtukuze tu Mungu uende zako. Kila siku bucha zinajengwa tu. Ukishachagua moja tulia ufaidi nyama na siyo kutanga tanga!
 

Forum statistics

Threads 1,189,736
Members 450,798
Posts 27,645,707