Tatizo mnaficha vifo hamtaki watu wajue kuwa wanakufa kwa corona. Sasa kama mnaficha na mnasema corona hakuna unategemea ushauti atoe nani wakati hamtaki kukubali kwamba tatizo lipo? Kubalini ukweli na watu watatoa ushauri unaousema
[emoji23][emoji23][emoji23]Pole mkuu,naona haujajikubali. Jikubali tu mahangaiko ya kunyoanyoa kisa kuficha upara ya nini? Mimi ni zaidi ya miaka 20 Sasa upo tu. Ninapotaka naacha nywele Kisha baadaye nanyoa,watu wameshanizoea[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi vitu vipo kweli kabisa. Yupo jamaa yangu mmoja ni Mwalimu alisingiziwa hivyohivyo. Mwalimu mkuu wake akashinikiza bonti amtaje huyu mwalimu akahukumiwa miaka thelathini,baadaye ikakatwa rufaa na mtoto akapimwa DNA ikagundulika tofauti.
Mzazi wa binti anakiri kulazimishwa na Mwalimu mkuu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hataree, hata haujakagua leo alivaa kiatu gani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji28][emoji28]mwisho wake ikawaje sasa????
Mkuu naona unataka kumdedisha mwenzako. Flagyl na pombe haifai. Kuna namna ya kuacha pombe au kama angepata dawa fulani (nimeisahau jina) inaweza kumsaidia kuacha kunywa.
Pole,vyuo vyote vya serikali chakula ni kujitegemea ingawa awamu hii walipanga kuwe na chakula mchana lakini mambo si shwari hapasomeki.
Bima ya afya inategemea na utoaji wa wanafunzi maana pesa zote za wanafunzi zinakusanywa na kupelekwa ofisi ya bima husika wao ndiyo wanaotengeneza...
Hali ni ngumu kwenye hospitali zetu,wakati mwingine tupunguze kuwalaumu watendaji wetu. Maana hospitali haina hata dawa wala vifaa,halafu mkubwa wa hospitali pamoja na wanasiasa wanawaambia wafanyakazi mkiulizwa semeni dawa na vifaa vipo. Hivi hapo tunamdanganya nani? Kama hospitali itakuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.