Nitumie njia gani niisahau pombe?

Nitumie njia gani niisahau pombe?

Mwenzenu nikinywa pombe usiku asubuhi najuta sana najuta kwanini nilikunywa lakini huwa sifanyi kibaya kwa maana nikishajiona nimelewa tu huwa natoroka narudi kulala ila majuto yake ni makubwa sana lakini cha kushangaza nashindwa kuacha naeza nikakaa nikapata kiu nikanywa halafu tena baadaye najuta.

Kwa mliofanikiwa kuacha mlifanyaje?
Huu ni mwaka wa 20 sasa nashindwa kuacha PUNYETO!!..Ukiweza nambie Tips naweza kuunganisha unganisha nikaweza na mimi
 
Kijana jitaidi kuokoka basi tuone kama utaweza kuacha pombe kama itashindikana basi tutakupa njia nyingine
 
Kila Unapotaka kwenda kunywa pombe uwe una kunywa kwanza vidonge vya flagyl ili usinywe pombe.
Mkuu naona unataka kumdedisha mwenzako. Flagyl na pombe haifai. Kuna namna ya kuacha pombe au kama angepata dawa fulani (nimeisahau jina) inaweza kumsaidia kuacha kunywa.
 
Mwenzenu nikinywa pombe usiku asubuhi najuta sana najuta kwanini nilikunywa lakini huwa sifanyi kibaya kwa maana nikishajiona nimelewa tu huwa natoroka narudi kulala ila majuto yake ni makubwa sana lakini cha kushangaza nashindwa kuacha naeza nikakaa nikapata kiu nikanywa halafu tena baadaye najuta.

Kwa mliofanikiwa kuacha mlifanyaje?
chukua tu vidonge viwili vya metronidazole ( Flajili kama mnavyoita)

Viweke ndani ya Glass yenye pombe .

Kisha kunywa .


Kila utakapokumbuka kilichokupata ....amini amini nakuambia Ni rahisi kuacha pombe, kuliko mvuta sigara kuacha sigara.


Utanishukuru.
 
Pombe si kitu kibaya ila binadamu wanaitumia vibaya. Pombe inaburudisha baada ya kazi ngumu. Raha ya pombe ni kunywa kiasi kidogo tu. Kama ni bia, moja au mbili zinatosha. Unasikiaje raha baada ya bia 5 au 7?

Mwanzo wa Wazungu kuanzisha Public Houses au Pubs ilikuwa ni sehemu ya wanaume kukutana na kubadilisha a mawazo. Kutokana na hali ya uchumi wanaume wengi wa ujira wa chini walimudu bia moja au mbili.

Siku hizi watu wanakunywa benefit yote. Matokeo yake ni kuongezeka kwa magonjwa yatokanayo na Pombe.
Mimi naweza kunywa K vant kubwa n nisiliwe kabisa wala kutikisika mpaka niongeze bia kama 4...

Sasa unaponishauri ninywe bia 2 unamaanisha nini.???
 
Yaan jana tu nimetoka kunywa tena..nikaamka akili yangu ikaanza kuonyesha majuto tena nikasema kbabaake najutia nini kama siyo upuuzi? Nimeacha kuachana nayo naungana nayo tu! Nikafungua mziki babaake nikajitahid kupotezea majuto..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom