Vihoja wanavyofanya mwaka wa kwanza pindi wanapoingia chuoni kwa mara ya kwanza

Waafrica ni shida sana sasa kama huo ndo uwezo wake unataka abebe nini? afu ni zuri kwa ulinzi wa vitu vyake ,first year wako real na ilipaswa waremain hivyo ,kwa ujumla wanachuo ni watu wa hali ya chini a bunch of dependants wote ningekuwa mimi ndo muamuzi wanachuo wote
1.Kwanza wavae sare yenye muonekano kama kombati za kijeshi
2.Asubuhi sio ombi kila mwanachuo anapaswa kukimbia lisaa limoja ,unless anasababu za kiafya
3.Marufuku kuingia na smart phone lecture rooms
4.Kila jumatatu hauingii chuo bila kupimwa alcohol test getini
Hizi mambo za kuandaa wajenzi wa taifa nyoronyoro hazifai kabisaa
Duuuuh sasa mbona ni JKT hiyo lol
 
Huko chuoni kuna nini hasa cha mno?

Watoto wenyewe wa masikini hawa mnataka kuwalazimisha waishi maisha ya viwango fulani?

Sioni kama tranka ni sanduku la aibu kiasi hicho!
No ishu sio kuwalazimisha kuishi maisha ya viwango..ishu ni kwamba vyuoni kuna zile kabati wanaitaga locker ina maana hawakuwahi hata kuuliza mtaani kuhusu habari za vyuoni?...ndo tunashangaa hapo..ina maana kwao walikotoka ni kisiwani kiasi gani hadi wasipate info za nje?
 
Waafrica ni shida sana sasa kama huo ndo uwezo wake unataka abebe nini? afu ni zuri kwa ulinzi wa vitu vyake ,first year wako real na ilipaswa waremain hivyo ,kwa ujumla wanachuo ni watu wa hali ya chini a bunch of dependants wote ningekuwa mimi ndo muamuzi wanachuo wote
1.Kwanza wavae sare yenye muonekano kama kombati za kijeshi
2.Asubuhi sio ombi kila mwanachuo anapaswa kukimbia lisaa limoja ,unless anasababu za kiafya
3.Marufuku kuingia na smart phone lecture rooms
4.Kila jumatatu hauingii chuo bila kupimwa alcohol test getini
Hizi mambo za kuandaa wajenzi wa taifa nyoronyoro hazifai kabisaa
namba 4 inanichoma hahaha
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom