Naomba kuelekezwa napoweza pata Salary slip

crispo1

New Member
Feb 9, 2018
4
1
Nawauliza waungwana hivi salary slip hazipatikani katika "salary slip.mof.go.tz naweza kuzipata wapi zaidi ya hapo
 
ingia website ya tamisemi na wenyewe wanatoa salary slip kama upo chinibya tamisemi
 
Kwa afisa utumishi wako
Daah watu bado wako nyuma sanaa pamoja na kukua kwa technology... Nilifanya kazi na shirika moja (NGO) yaani ikifika tarehe 27th. ya kila mwezi mshahara unasoma kwenye akaunti na baada ya siku 2 salary slip inaingia kwenye email yako.
 
Hii ipo kwa watu ambao hawajajisajili na mfumo wa salary portal
 
Back
Top Bottom