Recent content by liinoxx

  1. liinoxx

    JamiiForums Tanzania Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

    Sawa wazee wa mibantu...mmezoea miziiigo
  2. liinoxx

    JamiiForums Tanzania Kama simu yako ni original chora huu mstari

    --------------
  3. liinoxx

    JamiiForums Tanzania Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

    Amia mweka mkawe pamoja siunajua closeness make love
  4. liinoxx

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Sitaongeza mishahara kwa Watumishi wa Umma mpaka uzalishaji uongezeke

    Nyie mnalia nini....wenzenu hata kazi hatuna ila tumekua wapole sasa nyie kazi mnayo ila mnataka kuongezewa mshahara hamuoni ilo linachangia wenzenu tusiajiliwe kabisa...we mwaka wa ngap huu umeajiliwa ila bado hujaweza kujiajili ili uongeze kipato, acheni uzembe fanyeni kazi kwa ubunifu Sent...
  5. liinoxx

    JamiiForums Tanzania Nimfanyeje huyu binti wa mkoani? Kaniomba nimtumie nauli aje, baada ya kumtumia kanichenjia!

    Mkuu usiwaze sana kwakua hiyo ni njia mojawapo ya kucheza biko so umeliwa bro kuwa mpole kama vip jarib tena
  6. liinoxx

    JamiiForums Tanzania icloud unlock for iphones

    Kwanini ujisumbue ku-unlock wakati simu zipo mlimani city zinauzwa kwa bei ekekezi....kwann ununue locked phone Sent using Jamii Forums mobile app
  7. liinoxx

    JamiiForums Tanzania WCB ni jeshi la mtu mmoja na alikiba ni muungano wa timu zipatazo 5

    Kwa ngoma gani anayotusua?mondi alikua zaman siku hizi anafanya mchezo wa ku-copy na ku-paste tu kwa kifupi anafanya comedy,kama ww ni msema kweli niambie ni ngoma ipi mondi kuanzia 2014 kafanya ya kipekee pasipo ku-copy ? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. liinoxx

    JamiiForums Tanzania CHAPUTA(Chama cha Punyeto Tanzania)

    Inaondoa kumbukumbu Sent using Jamii Forums mobile app
  9. liinoxx

    JamiiForums Tanzania TRA yaikadiria ACACIA deni la Tsh. Trilioni 425.4 kama Malimbikizo ya Kodi

    ACACIA gomeni Sent using Jamii Forums mobile app
  10. liinoxx

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2017/18

    Sawa lakini mbele vyuo vingi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. liinoxx

    JamiiForums Tanzania Ukusanyaji wa kiingilio stendi ya mabasi Ubungo

    Jaman wana JF habarini.!mwenzenu naomba kuuliza juu ya ukusanyaji wa zile 300/= zetu pale langoni kuingia stand, Je zina tija kweli maana sioni kazi yake kama tunavyoona wenyewe stand jinsi ilivyo
  12. liinoxx

    JamiiForums Tanzania Mimba imeingia majuzi, nifanyaje?

    Usijali....jipange cku chache zijazo anza clinic then mambo yote yatakua poa
  13. liinoxx

    JamiiForums Tanzania Biashara za kufanya kwa mtaji mdogo wa elfu 10 mpaka 50

    Tunaomba utushauri na kitu kingine aisee maana naona una mawazo mazuri zaidi
  14. liinoxx

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale Nauza laptop kwa Tsh 220000/= tu

    Unanunua laptop au simu???think twice
Back
Top Bottom