Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

Wanawake wembamba humpunguzia mume hadhi yake

Katika rafiki zangu 5 waliooa, ambao sasa hivi wake zao ni wanene, hamna hata mmoja alieoa mwanamke wake akiwa mnene. Wote walikuwa wembamba(kawaida).
 
Kuna miili mingine huwa ya hivyo hivyo awe mnene au mwembamba ni hivyo tu maisha yake, hujawahi kutana na
mtu maisha yake ni magumu hatari lakini yeye mnene vile vile hapungui wala nini
Hyo ndo iko hvo Haina tofaut na ki na
Andunje,tolu
 
Ooooh
We husomeki, kule ulikuwa unatuponda vibonge na vitambi vyetu. Huku nako vimbaumbau hutaki
Haahaaa hao vimbaumbau wanawahi kuolewa na baada ya hapo wanakuwa mabonge
kuzidi hata wale mabonge mwanzo[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Haahaaa hao vimbaumbau wanawahi kuolewa na baada ya hapo wanakuwa mabonge
kuzidi hata wale mabonge mwanzo[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha
Ila wakiamuaga kuwaa mabonge huwa wanatisha jamanii!!
 
Human rights unazijua mkuu lakini binadamu wote ni sawa kama wewe hunapenda wanaweke wembamba ni wewe acha kuwa na dharau kijana
 
Wanawake wembamba ndio ugonjwa wangu...nawapenda kwel kwel
 
Mkuu hizi mambo hazina formula. Ukienda Europe wadada wanajiua kwa kuwa wanene ilihali hapa bongo dada zetu now wako busy kwenye diet na detox kukata unene.

Selfie tu ndio zimesababisha wadada watamani unene ila wa matako ili wakibinua kiuno aonekane Msambwanda upo - sijui ndio nyumba choo ama thamani ya kondoo mkia!!
Hawajui raha ya unene hao,
Wao wanajichukia sisi tunawapenda
 
Back
Top Bottom