Ha ha ha ha ha ha ilikuaje Mkuu? Mimi ilishawahi kunitokea enzi zangu Mkuu, achana kabisa na haya mambo Mkuu.Sikuwah kudhani siku moja nitamruhusu mdada atoe mimba yangu
Mpk pale nilipompa mke wa mtu mimba, alikunywa miso mpk nikakoma .ilikuwa na 1 na siku 5 ila nilipata shida,
Nilitumia njia ya kuchomoa kawaida
Mtu anaweza akakusema saaana ila yakimkuta na yeye ndio ataelewa hasa ni kwa nini watu wameamua kufanya hivi.
