zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,081
- 28,742
Duh nchi yetu kazi sana kwahyo if lisu is wrong automatically serikali ipo sahihi???? Duh kaz kwelikweli kma serikali ipo sahihi always mbona 40% ya watanzania hawana maji kabisa!!!! 40% hawana umeme kabisa!! Bajeti hutekelezeka mpaka 10% kwa wizara zingine lakini ni hao hao serikali ambao huwasilisha bajeti bungeni na kina lisu huipinga ila hakuna mwaka bajeti imetekelezeka kulingana na malengo then unatuaminisha the government is always right kisa lisu is wrong kuhusu VAT kwenye utalii??? Ndio reasoning ya wapi hiiunachoongea ni kweli mkuu,kunaweza kuwa na mapungufu sekta zote tra na hao wanasiasa wanao pinga hayo maamuzi "ILA NAAMINI SANA UPANDE WA SERIKALI KWA SABABU,HAO HAO AKINA LISU WALITUAMINISHA WAGENI WAMEPUNGUA KWENYE UTALII,BUT WHAT HAPPEN " Sasa kwa sie tusio na taaluma inabidi tu relay kwa serikali kwa hio simple fact.