Computer4Sale Nauza laptop kwa Tsh 220000/= tu

2in1

JF-Expert Member
Mar 29, 2014
213
225
Wakuu habar za muda, nauza hii laptop ni used kidogo lakini haina matatizo yoyte ni hp probook 6555b
RAM 4GB
INTERNAL STORAGE 250GB
PROCESSOR 2.3GHZ
PRICE 220,000/=
LOCATION DAR ES SALAAM
CONTACT
 
oko majimaji

Senior Member
Nov 11, 2016
131
250
Iyo hard disk ni ndogo sana na kw kua ni used nakupa 100,000/=..km uko tayar njoo pm tufanye biashara.
 
mandella

JF-Expert Member
Oct 29, 2011
2,987
2,000
Kesho Njoo nikupe Pesa Tukutane Pale Msimbazi Police Station. .. make sure Haina Tatizo , nahitaji kwa ajili ya mwanangu Shule ..

Sina Blablaa naonmba na ww usiwe na Blablaa ..Hitalafu yeyote nitakayoikuta ilhaki umeniambi ni nzima Tutapelekana Katika hatua nyingine .

Nitakupa Pesa kwa bei yako hiyo uliyoitaja .
 
nimeku-pm mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom