Ukusanyaji wa kiingilio stendi ya mabasi Ubungo

Ukusanyaji wa kiingilio stendi ya mabasi Ubungo

liinoxx

Member
Joined
May 13, 2017
Posts
21
Reaction score
10
Jaman wana JF habarini.!mwenzenu naomba kuuliza juu ya ukusanyaji wa zile 300/= zetu pale langoni kuingia stand, Je zina tija kweli maana sioni kazi yake kama tunavyoona wenyewe stand jinsi ilivyo
 
Hiyo Ni Pesa Nyingi Sana Kwa Siku Moja Inaingizwa Ila Kwa Haraka Haraka Inaweza Kuwa Ni Pesa Ya Mboga Nyumbani Kwa Watu
 
Ni kweli bado kuna tatizo kubwa la ukusanyaji kwenye hiki kituo...Ukienda usiku unalipia hiyo 200 au 300 then unapewa risiti iliyochoka ya saa nane mchana.

Sasa utashangaa meya wa ubungo anakomaa na kupigania jina la mtaa wa Wanyama wakati mapato yanaibiwa...ndio maana siwapendi wanasiasa watafuta kiki.
 
New member bana una mbwembwe nani kakudanganya madoido ya rangi yanawekwa kwenye heading?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Jana nilikuwa pale nimetoa 300 nikaingia mpaka sasa najiuliza kuna nini pale cha kutoa hiyo pesa !! yaani hata ukiwa unavuka na Daraja la mwendo kasi kuingia ndani ya kituo jamaa wapo waweka kamba mpaka utoe hiyo 300
 
Stend hpo wamejaa wahuni tu kuanzia mkuu wa stendi hpo hadi wakusanya hela!

OvA
 
Jaman wana JF habarini.!mwenzenu naomba kuuliza juu ya ukusanyaji wa zile 300/= zetu pale langoni kuingia stand, Je zina tija kweli maana sioni kazi yake kama tunavyoona wenyewe stand jinsi ilivyo
Wanaokusanya ni UKAWA na kwakuwa wao huwa hawakosei inabidi KUVUMILIA tu, tena ilikuwa mia 200 wamepandisha mpaka mia 300 ukijumlisha na mapato ya maegesho ya magari kutoka kampuni ya Kenya iliyopandishwa kutoka mia 300 mpaka 500 ni LAZIMA Pesa yote aliyohonga mamvi MAKANISANI na MISIKITINI Irudi.
 
Kwa nn wasitumie mashine za electronic
 
Wanaokusanya ni UKAWA na kwakuwa wao huwa hawakosei inabidi KUVUMILIA tu, tena ilikuwa mia 200 wamepandisha mpaka mia 300 ukijumlisha na mapato ya maegesho ya magari kutoka kampuni ya Kenya iliyopandishwa kutoka mia 300 mpaka 500 ni LAZIMA Pesa yote aliyohonga mamvi MAKANISANI na MISIKITINI Irudi.
Una uhakika unachokiongea? Km ni hivyo usitokwe povu sbb hii nchi hakuna cha unafuu, Waliofuta ajira za walimu wa arts nao unawachukuliaje? Pambana na hali yako acha kutokwa povu kwa 300 hiyo ni pesa ndogo sana
 
Ingekuwa pesa ndogo hao wanaoikamua wangeifuta au wasingeona umuhimu wa kuiweka
 
Back
Top Bottom