Recent content by lemidius mbalwohi

  1. lemidius mbalwohi

    JamiiForums Tanzania Dirisha la kudahili wanafunzi kwa mwez machi limeshafunguliwa?

    Samahanini wakubwa, vipi dirisha la kudahili wanafunzi kwa mwezi machi limeshafunguliwa? Naomba tujuzane maana wengine tupo vijijini. Ahsanteni! Mwaka wa masomo 2017/2018
  2. lemidius mbalwohi

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Ndoa inasemaje kuhusu mali zilizochumwa kabla ya ndoa?

    Jasho lako kabla ya ndoa ni lakwako pke ako labda kma mlishirikiana kuviendeleza wte ktk kpnd cha ndoa S.38 of Law of marriage Act cap 39 R.E 2002
  3. lemidius mbalwohi

    JamiiForums Tanzania Eti shetani kanipitia!!!!?

    Mtu akisema kuwa shetan kampitia ujue ana urafiki nae ndo mana kapitiwa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. lemidius mbalwohi

    JamiiForums Tanzania Tusaidiane katika hili kisheria

    It will depend the contract of employment btn the employer and employee Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
  5. lemidius mbalwohi

    JamiiForums Tanzania Makosa 10 aliyotenda Mungu

    Mungu ataendelea kuwa Mungu tu hata kama hajatenda unavyotaka. Cc ni wanadamu ww ni nan mpka uthubutu kusema mambo hayo! Kasome mithali ``Ulimi ni kiumbe kidogo sana lkn"!! Utamaliziaaa
  6. lemidius mbalwohi

    JamiiForums Tanzania Ungekua Rais ungefanya urafiki na Rais yupi?

    Na mwalimu Nyerere
  7. lemidius mbalwohi

    JamiiForums Tanzania Mastaa wa bongo ebu jifunze kwa Samatta

    Subiri waje naona hii bado ni ya motomoto
  8. lemidius mbalwohi

    JamiiForums Tanzania Nitampataje huyu binti wa kibosile!

    Hicho kimemo utakachoandka mpe mzee wake akipelekee
  9. lemidius mbalwohi

    JamiiForums Tanzania Nawasihi walimu msigome hiyo kesho

    Mnataka kugoma wakati intake nyingi zinalilia ajira!! Nashangaaaaa!!! Nashangaaaaaaaaa!!!?
  10. lemidius mbalwohi

    JamiiForums Tanzania Nimempa mimba mke wa mtu lakini kaniambia nisiogope

    Atakupga busha,jamaaa
  11. lemidius mbalwohi

    JamiiForums Tanzania Wale wachepukaji wenzangu

    Bah!
  12. lemidius mbalwohi

    JamiiForums Tanzania Nampenda sana miss chaga

    Wa kugegeda
  13. lemidius mbalwohi

    JamiiForums Tanzania Muda si mrefu home patawaka moto masela wangu

    Mm co masela naondokaa
Back
Top Bottom