Nawasihi walimu msigome hiyo kesho

Nawasihi walimu msigome hiyo kesho

Mgomo mzuri ni WA kimya kimya, yaani wa kisaikolojia.walimu wafanyekazi kulingana na malipo yao, fundisheni mada ziishe ila mtoto atoke kapa. Mwisho WA siku hata wapigakura wetu wataisoma kupitia matokeo ya watoto wao.
Walishagoma zamani za Kikwete, naona wanaumbushia baada ya kuingiwa na roho ya huruma.
Waiposikilizwa wanaendelea na mgomo wao na shuleni utawaona kama kawaida.
Usifanye mchazo na wito.
 
Gomeni muone kuna wenzenu wana miaka 2 nyumbani hawajaajiriwa gomeni sasa
Wewe wacha zako hizo
Wana experience?Msije mkatuletea walimu aina ya Daudi kumfundisha watoto wetu. Qualified and experienced teachers ndo wanastahili; ama muwalipe au wagome tu
 
Gomeni muone kuna wenzenu wana miaka 2 nyumbani hawajaajiriwa gomeni sasa
Huku pwani huwa twasema ukisusa wenzio twala! Waache wasuse tuone kama walaji hawatapatikana! Hizi ni enzi za kazi! Kama huwezi kazi piga chini!
 
Tatizo linalizikumba trade union Africa in general hawako more exposure hususani katika kulisolve disputes kuanzia ya ndan na nje coz all most wako too much conservative and ridig! Hawana strategic plan za annual mpaka kwenye evaluation! Mbali na hayo hata tactics wanazotumia katika kupressure deman kama strike,negotiating and meditation! Its too old kulinganisha na mahitaji ya sasa! Wanatakiwa watu wataalam katika conflict and resolution process ambao kimsing wanakuwa wako more current katika economic,social issues! They focus much position than interest that brigh lose lose situation
 
Mgomo mzuri ni WA kimya kimya, yaani wa kisaikolojia.walimu wafanyekazi kulingana na malipo yao, fundisheni mada ziishe ila mtoto atoke kapa. Mwisho WA siku hata wapigakura wetu wataisoma kupitia matokeo ya watoto wao.
Mgomo kimya kimya ndo madudu gani.. Fanyeni kama wakenya.. Kila kitu kiwe wazi..
 
Kwenye mapambano yangu ya maisha najitahidi niweke akiba ya kutosha ili hata nikifa leo kijana wangu asijekutia mguu shule hizi za kidumu mkononi na sec za kata maana kama uyu muoga ndio mwalimu wake mbona hasira za serikali zitaishia kwa kumbutua kijana wangu na kumlisha matango pori inasikitisha kuona walimu wengi hawajui haki zao.
 
Back
Top Bottom