Nitampataje huyu binti wa kibosile!

Nitampataje huyu binti wa kibosile!

siku utakuta yupo na rafiki yako sijui hata kuita shemeji utaweza?
 
Mara nyingi hyo hali huwatokea watu wengi tu pindi wakutanapo na watu waliowapenda sana toka moyoni,hivyo hujikuta ile hali ya kujiamini inapungua na kusindwa kurusha karata kutoka na kuanza kuibua sababu ambazo kiuwarisia hazipo kabisa ,ili kukabiliana na hiyo hali hebu jaribu kumchukulia huyo binti kawaida tu hii itakusaidi pale utakapo pata chance uweze kuitumia vizuri
Lakini pia fanya juu chini uweze kuwa karibu kidogo na baba yake,hili litakusaidia kuwa karibu pia na Huyo binti na litafanya awe free hata pale utakapokuwa karibu na wewe kwasababu atakuwa kasha jenga uwaminifu Fulani kwako.
 
Mungu anakuona unavokuwa hausali unakaa kuwaza tu
 
Back
Top Bottom