Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,660
- 7,948
Mleta mada anataka kujua kupitiwa na shetani hasa ndiyo inakuaje? sidhani kama kataka kujua nani aliyemtengeneza shetani,hata jambo la uongo pia lina elezwa na mtu anaelewa ila wewe unaona habari za shetani ni uongo ila hujui ni vp maana ya mtu kupitiwa na shetani na pengine ndiyo maana huwezi kuelezea.
Halafu pia mkuu sasa kama hizo dini ni za wazungu na waarabu ilikuwaje zikawepo mataifa mengine wasio wazungu wala waarabu?
Haaaaa haaaaa haaaaa.
Dini za wazungu koko na waarabu pori zimefika kwenye mataifa mengine kwa sababu ya upoyoyo wa mataifa mengine yaliyokubali dini uchwara za wazungu.
Any way, religion it is the opium of the people.