Wale wachepukaji wenzangu

kamdudu

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
2,007
1,927
Jamani mimi hua nabishana na watu sana kuhusu michepuko !
Eti mchepuko inatakiwa awe mkali kuliko mke/mume wako ?
Au inatakiwa awe anazidiwa na mke/mume wako ?

Kwa nini ?
 
Kiukweli tunahangaikaga bule na michepuko.Mkuu sikio huwa halizidi kichwa Mke mtamu kila kitu asikwambie mtu

Halafu hata ukichepuka unakula mzigo wasiwasi kibao kiasi kwamba hata sms ikiingia unahisi ni mkeo anakutafuta...yaani ni shida
 
Mwanaume unaweza kuchepuka na mwanamke yoyte yule anaeweza kusababisha dudu lisimame regardless ni mzur au mbaya kuliko mkeo...
Lkn kwa mwanamke ni tofaut kidogo wao wanachepuka na mtu ambae ana uwezo wa kumreplace mume wake kulingana na kitu ambacho anakihitaj kwa wakat huo either pesa mapenz
 
Back
Top Bottom