CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimefanya kufuru katika jimbo la Muheza baada ya kuzoa viti vyote vya udiwani vya jimbo hilo, huku vyama vya upinzani vikiambulia patupu.
Matokeo hayo yametangazwa jana na Katibu wa CCM wilayani Muheza, Josephini Mbezi wakati akizungumza na Mwandishi wetu ofisini...
Ni mtazamo tu msijenge chuki
Kuna uwezekano mkubwa ccm ikashinda uchaguzi mkuu bara kwa kutegemea sana kura za nzazibar.Ccm ambayo ina wanachama karibu nusu ya wapiga kura wa zanzibar ambao wanaiunga mkono .TOFAUTI NA CHADEMA ambayo haina mtandao mkubwa zanzibar.wakati Mgombea wa Cuf BARA...
kwani si utabiri tu jamani kwani utafiti wao unabadilisha nini? me nafikiri cha muhimu ni kupiga kura then tusubiri matokeo halisi.Anaye amini aamini na asiyeamini asiamini kura ndo kila kitu.hakuna atakayekosa haki yake kwa utafiti wa redet wa watu 2500.
Waungwana hapa kwetu watu wanamatumaini kibao kuwa Dr. Slaa atachaguliwa kuwa Rais.ila wasiwasi nikwa hawa wafanyabiashara wa vifaa vya ujenzi maana raia wamesimamisha ujenzi wakisubiri bei ya cement ishuke ambapo sasa mfuko mmoja wa cement ni sh.20000 na Dr.alituahidi kuwa tutanunua kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.