Global Publishers! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Global Publishers!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by vivian, Oct 5, 2010.

 1. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Kwanaza Naomba Nikupongeze MD wa Global Publishers.
  Nimekua nikipata habari nyingi za kuelimisha, Kufurahisha na mengine mengi.
  Naomba niseme Kuwa nimegundua at the moment you are biased politically!
  Hizi heading mbili Leo zimenidhihirishia hilo.
  1.Mjengwa: nilichokiona Mwembetogwa Iringa.
  Hivi katika Blog ya mjengwa mumeona hilo ndio la muhimu kuliko mengine kuliweka kwenye mtandao wenu?
  2.Anayedai kuporwa mke na Dr. Slaa anusurika kifo

  Is this fair to Dr. Slaa or just humiliation? Is there no other language you can use?

  Thats all!
   
 2. l

  lembeni Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wangeandikaje?
   
 3. RR

  RR JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Mar 17, 2007
  Messages: 6,719
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Umesoma huo upuuzi uliondakwa na hao wapuuzi??
  Ni wazi kwamba wanasema kwamba Dr. Slaa (au wapambe wake) wana mpamgo wa kumuua Mahimbo!
   
 4. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Utajibiwa na great Thinkers!! Mi nafikiri kwenye maelezo yangu yanatosha!!!
   
 5. A

  Anna Gilbert Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Global ni ccm pure kwa hiyo tusishangae.
   
 6. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  mke anaporogwa?
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Mmiliki wa GP ni kada wa chama umesahau?
   
 8. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sasa si kweli kuwa hao wapambe wa Slaa wameanza kutumia silaa kumuangamiza Chediel?Huu ni mwaka wenu mtaona mwisho wake ila msije mkakimbia hapa jf!
   
 9. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Nani kakwambia. Pole ! usije ukakimbia wewe!!!
  Kwa taarifa fupi tu. ni kwamba Slaa atashinda But not kwa kishindo. Coz CCm na CUF wameungana.
  poleni mafisadi. mwisho wenu umefika! Ukombozi wetu umekaribia! mnajaribu kumchafua Slaa mkitumia udini lakini. Hakuna Ukristo wala Uislamu kwa Slaa! Kanyaga Twende. waislamu wakristo wote haki sawa!!
   
 10. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  The Following User Says Thank You to vivian For This Useful Post:

  Bigirita (Today) ​
   
 11. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Kumpa urais mtu anaye anguka-anguka hovyo ni upumbavu na upofu. Koran inasema wote wasio waislamu adhabu yao ki kifo kuanzia mtu wa kwanza mpaka wa mwisho.
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  Hayo yasikubabaishe kwa kuwa kwenye maandiko matakatifu tunaelemishwa yafuatayo:-

  Hapo waweza kuona ya kuwa porojo dhidi ya Dr. Slaa hazina baraka ya Mwenyezi Mungu na kamwe hazitafanikiwa.
   
 13. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Huyu mmiliki wa global publisher ni a stupid guy anayetumia magazeti yake kudhalilisha wakina dada. Mi siku zote namuona ni mpumbavu na huwa sisomi gazeti lolote kaandika yeye.
  Ni baadaye tu niligundua kwa nini is a hopeless guy. "Yuko sisi m akishirikiana na majambazi wa nchi hii"
   
 14. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Gp md alienda ktk mchakato wa kura za maoni za ubunge - ccm , akashindwa.
  Sasa anajipendekeza kwa lengo la kupewa makombo.. ukuuu wa wilaya etc. Bahati mbaya sana kwao mwaka huu ... hakuna ukuu wa wilaya wala like stupidiness, kwa sababu this time, wanakaa benchi . makamba ajiandae kwenda kugema pombe ya mnazi!
   
Loading...