Nyangwine atwaa tarime du!


M

mishemishe

Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
28
Likes
0
Points
0
M

mishemishe

Member
Joined Nov 1, 2010
28 0 0
wadau matokeo yametangazwa tarime chadema chali!
 
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2008
Messages
9,401
Likes
487
Points
180
Njowepo

Njowepo

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2008
9,401 487 180
Tarime ya mapanga shaaaaaaaaaaaaa CCM wamechukuaa!
Imani yangu apo ni kama mbegu ya haradali
 
Mwanajamii

Mwanajamii

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2008
Messages
7,080
Likes
20
Points
0
Mwanajamii

Mwanajamii

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2008
7,080 20 0
Ccm...ccm...ccm...ccm....ccm ....ccm
 
Mwanajamii

Mwanajamii

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2008
Messages
7,080
Likes
20
Points
0
Mwanajamii

Mwanajamii

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2008
7,080 20 0
CCM hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Tarime Hoyeeeeeeeeeeeeeeee
 
T

Tanzania

Senior Member
Joined
Jun 6, 2008
Messages
115
Likes
1
Points
35
T

Tanzania

Senior Member
Joined Jun 6, 2008
115 1 35
Tarime ya mapanga shaaaaaaaaaaaaa CCM wamechukuaa!
Imani yangu apo ni kama mbegu ya haradali
Nawapa pole sana wana Tarime kwa kumchagua fisadi original. Mungu wa mbinguni awape macho ya kuona mlichofanya ili siku nyingine mrekebishe.
 
Kakungulume

Kakungulume

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2008
Messages
213
Likes
42
Points
45
Kakungulume

Kakungulume

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2008
213 42 45
:doh: hata wakichakachua matokeo.......Chadema aluta continua
 
senator

senator

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2007
Messages
1,927
Likes
4
Points
133
senator

senator

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2007
1,927 4 133
Tarime ilikuwa na kila dalili za kugawana kura mana wagombe wanne walikuwa na nguvu kwenye kata zao..CUF,NCCR ,CHADEMA na CCM so na maeneo yaliyokuwa na watu wengi CCM ndo walipopiga bao la kisigino hapo.Ila Nyamongo ni ngome ya Chadema ndo mana kata nyingi wamechukua udiwani.
 
S

Solomon David

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2009
Messages
1,148
Likes
1
Points
0
S

Solomon David

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2009
1,148 1 0
Waliotudanganya kwamba Tarime ni ngome ya Chadema wako wapi?
pamoja na kuchakachua kote bado kura za wapinzani ni nyingi sana mkuu. Hujaona hilo
 
M

Mugerezi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2007
Messages
456
Likes
3
Points
35
M

Mugerezi

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2007
456 3 35
Duh noma kweli ile ilikuwa ngome ya upinzani. Inauma.
 

Forum statistics

Threads 1,250,597
Members 481,419
Posts 29,738,417