Elections 2010 Singida mjini Mo kashinda

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Tume ya taifa ya uchakuzi kule Singida mjini yametangwa punde...

MOHAMED GULAM DEWJI 21,169
Mgombea ubunge wa CHADEMA 3457

Yaani yaelekea mikoa yenye maedneleo duni inakumbatia CCM ( Temeke, Singida, Lindi, Rukwa, Morogoro n.k) Watnzania wa huko bongo lalalaaaa
 
Uzuri kwa Dr. Slaa mikoa yenye maendeleo duni haina watu kwa hiyo hicho ni kilio cha kusaga meno kwa JK...................
 
Back
Top Bottom