Elections 2010 Dr Slaa ndani ya Bukoba

Tunashukuru sana MWAFRIKA KWA PICHA NZURI ZA RAIS MTARAJIWA!Jitahidi kutuletea picha pale unapozipata ,siyo mbaka uchokozwe na MALARIA SUGU!!
 
Picha za Rugemeleza post # 67 hizi hapa

Slaa+kupiga+ngoma.JPG
 
Eti kweli Dk slaa, Lwakatare wamepiga magoti kule bukoba kuomba kura?
JEE inamaana sasa Dk slaa anatumia mbinu mpya? mbinu ambazo ms aliwahi kumshauri.
lkn mbona amechelewa? atarudi tena mikoa aliopita kupiga tena magoti?
watz hatudanganyiki.

Habari za kishabiki zimezidi itafika mahali zitakuja habari za maana tukadharau.
 
Tunashukuru sana MWAFRIKA KWA PICHA NZURI ZA RAIS MTARAJIWA!Jitahidi kutuletea picha pale unapozipata ,siyo mbaka uchokozwe na MALARIA SUGU!!

Mkuu hizi picha zipo hapa jamvini, tafuta mada aliyoanzisha member anaitwa mchukia fisadi. Ngoja niitafute nikupe link yake.
 
Eti kweli Dk slaa, Lwakatare wamepiga magoti kule bukoba kuomba kura?
JEE inamaana sasa Dk slaa anatumia mbinu mpya? mbinu ambazo ms aliwahi kumshauri.
lkn mbona amechelewa? atarudi tena mikoa aliopita kupiga tena magoti?
watz hatudanganyiki.

mbona husemi ile ya jk kukaa kwenye majani na kiwete
 
MS LOOK AT THOSE PICTURE ITS VERY FANTASTIC AND MOST INTERESING. WHY CAN'T YOU LIKE CHANGES, LOOK AT THOSE MOTHERS AND THEIR CHANTS LIED ON THE GROUND ,THEY LOOK TO HERE CHANGES.
GO SLAA FOR PRESIDENT.:A S thumbs_up:
 
MF,

Bukoba inahitaji a handsome man like this (nikikopa usemi wa dokii wa ccm) one awe mbunge.

i love it... nilikuwa nasubiri umalize kuweka picha ili niweke hamsini zangu.

namuona Waziri wa Ulinzi kamili au Ujenzi au Waziri Mkuu kabisa
 
Moderator, hii thread iko sawa na ile ya DR SLAA YUPO BUKOBA.
Tafadhali ziunganishe.
 
Malaria sugu unaweza kuhesabu kura za Chadema Bukoba mjini na ukaja na jawabu hapa jukwaani?
 
Naona leo Dr amekuwa maeneo ya majimbo ya Muleba. Niko safarini kurudi kwetu hivyo sijaungana naye. Mwenye picha na atuletee hapa please.
 
Back
Top Bottom