Hata kama hiyo tume imeundwa hakuna jipya kwani mpango kama ni wao kitu gani au majibu gani utarajie toka kwa tume...achen ujuha zaidi hapa ni kuhakikisha ulinzi kwa Dr. Ulimoka pale MOI....haya mengine wananchi tuamue maana tunachoka sasa na uonevu...
Jaman kwa yeyote mwenye taarifa za uhamiaji naomba anijuze hapa jf tafadhali maana wengine tupo kijijini kweli hata magazeti hatupati....nawasilisha wana jf..
Kwa taarifa za uhakika toka kwa vyanzo vyetu vya habari ni kwamba katika harakati za kupiga tambo za ubunge 2015 yupo kijana mdogo na msomi toka musoma vijijini ambaye anatajwa anaweza kuwa mwiba mkali kwa mbunge wa sasa Mh.Mkono..
Kijana huyu kabobea katika elimu ya juu ya utawala wa...
Huyu Mr. CHRISTIAN MAGIGE hana undugu na hata hana uhusiano na Mbunge wa viti maalum...ila kwa taarifa za uhakika nilizopewa tena jioni hii kasema anagombea kuptiia CHADEMA...
Hana papara jamaa anajiamini kwa kupitia chadema....mie namfham sana
Jamaa bado hajaweka wazi lakin kuna rafik yake wa karibu anasema kwa mlengo wa siasa zake na msimamo wake anaelekeza sana Chadema kwani anaonekana ni mtu wa mabadiliko sana.
Kwa taarifa za uhakika toka kwa vyanzo vyetu vya habari ni kwamba katika harakati za kupiga tambo za ubunge 2015 yupo kijana mdogo na msomi toka musoma vijijini ambaye anatajwa anaweza kuwa mwiba mkali kwa mbunge wa sasa Mh.Mkono..
Kijana huyu kabobea katika elimu ya juu ya utawala wa...
Kwa taarifa za uhakika toka kwa vyanzo vyetu vya habari ni kwamba katika harakati za kupiga tambo za ubunge 2015 yupo kijana mdogo na msomi toka musoma vijijini ambaye anatajwa anaweza kuwa mwiba mkali kwa mbunge wa sasa Mh.Mkono..
Kijana huyu kabobea katika elimu ya juu ya utawala wa biashara...

jamani vp ya uhamiaji haijatoka?? sisi wengine hatupati magazeti tupo bush...samahan naomba kujuzwa na mwenye taarifa juu ya majina ya uhamiaji kama yametoka
Jaman mwenye taarifa juu ya nafasi za uhamiaji kama wameshatoa majina ya waliochaguliwa naomba anijuze maana mimi nipo kijijini magazeti inakuwa taabu sana kuyapata....naomba kujuzwa tafadhali.......
Hao wanaosema magufuli ana visasi wao ndio wenye visasi tena wazi ..magufuli ni waziri anaefata sheria na katiba ya nchi...mie natokea kijijin sana musoma vijijin,,lakin wanchi wanamkubali magufuli zaidi ya mtu yeyote katika serikali ya tz..so mr.Magesa acha kufikir kwa kutumia Masaburi na...
Tusubirie wafanye kazi jaman,,kuna wengine wanashindwa kufanya kazi kwa sababu ya uzibe wanaowekewa na wakubwa wao kumbe unakuta wapo sahihi km wangeweza kufanya kazi waliopewa lakin unakutwa wanabanwa na katiba au alie juu yao so km malima hafai itaonekana tu katika hii wizara aliyopewa sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.