Post za magereza

Oct 12, 2010
70
7
Wadau walioapply prisons ngazi ya waliomaliza vyuo vipi wameshaita??sielewi kinachoendelea naombeni ufafanuzi
 
Kama huna mahusiano ya kinasaba na Afisa yeyote utaendelea kusubiri sana. Mi nilikuwa na dogo wangu amepoteza muda in vain. wanawatesa tu waombaji wakati walishachagua watoto wao.
 
bado endelea kuwa na subira..ukiona uhamiaji tayar bas ujue na magereza nao watatoa.KUWA NA SUBRA, ASIKUVUNJE MTU MOYO MPAKA YAKUKUTE MWENYEWE.
 
''Only Dogs are to OBEY'', haka kamsemo kalinifanya nizipotezee kazi za jeshi tangu long-time.
 
Wale wenye vyeti vya form four wataanza mafunzo rasmi mwezi huu tarehe 4 pale kiwira mbeya sijui kuhusu hawa wa degree kama ni tayari, kama ni rizki yako utaipata tu, mi na ndugu yangu ameipata bila ya kuwa na refa yeyote.
 
jamani vp ya uhamiaji haijatoka?? sisi wengine hatupati magazeti tupo bush...samahan naomba kujuzwa na mwenye taarifa juu ya majina ya uhamiaji kama yametoka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom