URGENT..! Nafasi ya Kazi Stores Officer

Biohazard

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
2,197
1,459
This is URGENT...!

Nafasi ni Moja(1)

Kwa wale ambao wanaishi Mwanza wenye diploma ya Procurement chuo chochote naomba mtume Cover letter na CV zenu pamoja na attachment katika email

Quton Tanzania Limited
4TH Floor PPF Plaza
Rear Tower, Kenyatta Road
P.O Box 1795
Mwanza
Tanzania


rufaro@live.com

Job Work Station ni Bariadi katika Plant.

Kampuni ina deal na ku multiply mbegu za Pamba na ku supply katika Ginneries.

Please watakao kuwa wametuma CVC zao hadi kufikia Jumatatu wataitwa cku hiyoyo. Kama una ndugu jamaa au rafiki anaweza kuja direct ofisini kuleta makabrasha hayo katika Physical address niliyoweka hapoi Juu au ukamsaidia kutuma hizo mambo.

Hakuna undugu wala kujuana Haki bin Haki ambaye atafanya vizuri kwenye interview ndiye atakayeajiriwa.

Best of Luck.
 
Malipo yao sio mabaya kwa diploma take home not less than 400,000/= lakini possibility ya kua juu ya hapo ni kubwa.
 
vipi wanajamvi habari ya zenu...inakuwaje ile interview ya quton wameshatoa majibu? naomba kujuzwa
 
mambo ni vp wana jf,inakuwaje kwa wale tuliofanya usahili hapo QUTON, vipi wameshaita watu?
 
mambo ni vp wana jf,inakuwaje kwa wale tuliofanya usahili hapo QUTON, vipi wameshaita watu?

Kwani walikwambia majibu baada ya muda gan?mimi niliuliza watatoa majibu baada ya muda gan? Wakasema after 1 wiki.sasa na wiki ya tatu unategemea nn? kama ni urgent watakuwa wameshaita mtu ,i endelea kutafuta nafasi nyingine
 
Thanks for appying... Majibu yalitoka baada ya wiki moja na mlifanya interview watu watano na mmoja kati yenu alichukuliwa. Sasa hivi yupo katika plant ameanza kazi. poleni ambao mmekosa na hongera kwa mliopata.
 
Thanks for appying... Majibu yalitoka baada ya wiki moja na mlifanya interview watu watano na mmoja kati yenu alichukuliwa. Sasa hivi yupo katika plant ameanza kazi. poleni ambao mmekosa na hongera kwa mliopata.
Babu ndende KONGOTO TATOO
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom