Mwenye taarifa kuhusu nafasi za uhamiaji....vp wameshatoa majina??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwenye taarifa kuhusu nafasi za uhamiaji....vp wameshatoa majina???

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by KONGOTO, Jun 21, 2012.

 1. K

  KONGOTO Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jaman kwa yeyote mwenye taarifa za uhamiaji naomba anijuze hapa jf tafadhali maana wengine tupo kijijini kweli hata magazeti hatupati....nawasilisha wana jf..
   
 2. Nyaubwii

  Nyaubwii JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mkuu watu tayari washaanza kazi huu unaenda mwezi wa pili sasa, we bado unasubiria tu.
   
 3. M

  Mkwanda Senior Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu jiheshimu basi hata kidogo,bado hawajaita but soon shortlist itatoka keep intouch.
   
 4. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  duhh wameanza kazi...
   
 5. Kilahunja

  Kilahunja JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 1,497
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  unapata faida gani, kuongopea watu, kwakutoa taarifa isiyo sahihi? Think big n grow up!
   
 6. SIKAUKA MHAPA

  SIKAUKA MHAPA JF-Expert Member

  #6
  Jun 25, 2012
  Joined: Jun 11, 2012
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hata hivyo hivyo kuna taarifa kwamba wantahitajika graduate si muda mrefu hivyo wambie wanzako wajiandae popote walipo
   
 7. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #7
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  wametoa gazeti la mtanzania la 26/06/2012
   
 8. NusuMutu

  NusuMutu JF-Expert Member

  #8
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 423
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu gazeti la mtanzania la leo naona majina kibao wameitwa kwa intavyuu kuanzia julai 9 mpaka 18.sijui nikusaidieje ...
   
 9. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #9
  Jun 26, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Nusumutu,umsaidie nani
   
Loading...